Hawa madaktari ni vibaraka na wanatumiwa na watu wa aina fulani kuleta chokochoko zao, si bure. Maana kesi iko mahakamani, kwanini wasiheshimu sheria na kungoja uamuzi wa mahakama? isitoshe, madai yao mengi yameshatimizwa. Bado wanataka nini? wanazotaka ni hizi vurugu, hao washughulikiwe ipasavyo mpaka waseme ni nani wanaowatuma, nasema serikali isogope wala isisite kuwachukulia hatua za kuwafukuza kazi kabisa tena.
sawa kada, fanya kazi yako..we heard you had CP and been a truant, finally school drop out!! u discredit urself brother.
ritz
hizi propaganda umezitoa wapi? Hili suala linamgusa kil mtanzania bila kujali unazi wa kichama; hao unaowatetea wana uwezo wa kwenda india; kumbuka si kila mtanzania analimudu hilo; hilo la mi. 13 umelitoa wapi? Ikiwa wanagombania kuboresha huduma za afya nalo hilo limekuwa kosa la jinai? Ritz funguka kichwa; sasa utaelewa kwa nini tuliopo mtoni hatutaki kurudi bongo maisha ya kubahatisha tulishayasahau.
Chama
gongo la mboto dsm
hao ni vibaraka wa waarabu na wasultani wanatumiwa na waarabu kuleta usultani hapa tanganyika , mshahara wanaoupata unatosha kabisa , mbona wenzao kule zanzibar hawagomi na mshahara wao uko chini mara 5 ya huo wao
wamekosa uzalendo vibaraka wa waarabu na masultani hao
Ritz
Hizi propaganda umezitoa wapi? Hili suala linamgusa kil mtanzania bila kujali unazi wa kichama; hao unaowatetea wana uwezo wa kwenda India; kumbuka si kila mtanzania analimudu hilo; hilo la mi. 13 umelitoa wapi? Ikiwa wanagombania kuboresha huduma za afya nalo hilo limekuwa kosa la jinai? Ritz funguka kichwa; sasa utaelewa kwa nini tuliopo mtoni hatutaki kurudi bongo maisha ya kubahatisha tulishayasahau.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Never been a dropout in my life, neither in education nor in life.
Kufukuza madaktari wote sio kazi rahisi kama tunavyodhani...halafu kuwafukuza udaktari sio kuwavua udaktari. Udaktari ni taaluma ambayo mtu anapata baada ya kupitia shuleni kwa muda wa miaka kadhaa...kama wangefanya hivi kwa wakurugenzi wa wilaya na hawa wanaoficha hela kule uswisi mbona Tanzania ingeheshimika.Hili la kufukuza madkatari ni kutesa tu wananchi. By the way daktari sio lawyer au mchumi....tukiwakosa kwa wiki moja tu tutaona cha mtema kuni
Kwa mujibu wa chanzo muhimu katika wizara ya afya, Serikali imejiandaa kuchukua hatu kali kwa madaktari wote waliogoma ifikapo kesho Ikiwa ''Ni pamoja kuwafukuza kazi na utumishi'' baada ya juhudi za Serikali na za Kimahakama ''KUTOHESHIMIWA''.
Pamoja na hatua hizo pia taratibu za kuandaa madktari mbadala toka taasisi nyingine za Serikali ikiwa ni pamoja na uwezekano wakupata msaada wa dharura wa Madaktari toka mojawapo ya Nchi za Afrika Mashariki, zinaendelea vizuri. Aidha ulinzi nao unaendelea na utaendelea kuimarishwa katika sehemu na maeneo mbalimbali.
Kauli hii bila shaka ina underline tamko la Serikali leo Bungeni kuwa '' LIWALO NA LIWE''

Afadhali hujakataa u had CP, au huelewi hiyo ni nini?
LIWALO NA LIWE ni vita kali kati ya Madaktari na Serikali...
Aaah hiyo si ilikuwa tunafanya mie na wewe au umesahau?
Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Wachina wanaweza kuichukua hospitali nzima na hao wafanyakazi kulipwa na serikali yao ya uchina ,kuna madaktari kama milioni moja hawana kazi nchini China.