Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.
Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
Muuaji ni dhaifu na madaktari wa uasalama wa Taifa wanaovaa makoti na kupiga picha na kutangaza mgomo umeisha,wakati tuliogoma bado hatujajibiwa,majibu ya siku ile hayakutuingia kichwania na wala hayana uwezo wa kuingia.Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
kipindi hicho pia hatuwa na DHAIFU wala LIWALO NA LIWEYaani hayo mazingira miaka yote mlikuwa hamjaona kama ni mabaya hadi mwaka huu ndio mmeoana? Ina maana mlikuwa hamfahamu kuwa hakuna CT Scana hadi mwaka huu ndio mmelitambua hilo? Kama kweli mna uchungu na maisha ya walala hoi, mlikuwa wapi zamani kuwatetea? Au kuna kitu kipi kilichowasukuma hadi mkaamua kugoma ndani ya mwaka huu? Mnataka kusema zamani kulikuwa na CT Scan? Au magonjwa ya kutibiwa kwa kutumia CT Scan ndiyo yamekuja mwaka huu? Madakatari rudini kazini maana wananchi wasioweza kulipia huduma katika mahospitali binafsi wanaendelea kufa.
Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
hutakaa usikie tamko lolote,make Dhaifu hataki tuonekane popote,(amedhibiti media kwa gharama kubwa sana) sisi tunafanya mambo down to down,ukitaka TAMKO Peleka mgonjwa MOI au MNH
Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
Jamani Madaktari nilisha sema nina waunga mkono....
Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.
Hoja ya madaktari ni sawa na tabia ya kinyonga. Nimeongea na dr mmoja ameniambia live kuwa hoja yao kuu ni Maslah yao binafsi [mishahara na posho], na sio vifaa, siku za hivi karibuni ndio wameanza kubadilisha hoja baada ya kugundua hoja za mishahara mikubwa hazina nguvu mbele ya jamii.
Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....
THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
THE NATIONAL HOSPITAL with no single paediatric ICU.
unafiikiri dr tusipokua pamoja tukawaambia hawa wanasiasa kwamba tunataka mabadiliko. nan atawambia??
IF WE STAND TOGETHER AND TELL THEM THEY WILL UNDERSTAND WHAT WE MEAN.
BUT TUKIRUDI NYUMA TUTAZIDI KUTESEKA WAKATI NCHI NI YAKWETU NA SIO YA POLITICIAL "
WAO WAMESHAJICHUKULIA UKUMBI WA KISASA WA BUNGE WAKATI sisi tuhangaika huku bila dawa
NI WAKATI WETU SISI KUWAMBIA TUNATAKA MAAZINGIRA MAZURI Y A KAZI
madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza(Mwisho wa kunukuu)