Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.

itoshe tu kukwambia kua moyoni mwangu nimekutukana tusi kubwa mno usilolipenda.
 
Hebu jibu hili swali, ni kwa vipi kukosekana kwa CT Scan muhimbili, kupelekee madaktari wa serikali walio chini ya hospitali za makanisa, KCMC, St francis, Bugando etc nao wagome? Ndio maana nikakwambia hoja za madaktari ni kama ngozi ya kinyonga, Hoja yao kuu ya mishahara, posho huku wakitumika kisiasa imegonga mwamba.
AIBU ZENU

madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza .Serikali Dhaifu,wananchi Dhaifu,Isipokuwa madaktari na wanaharakati wachache sana(wewe haumo)
 
Hili ni tatizo. Wagonjwa wanalia. Chadema kama chama cha upinzani understandably kinaonyesha great concern. Lakini hili jambo haliihusu Chadema;hili ni jambo kati ya madaktari,Serikali na wagonjwa.
Na hapa,I just cannot help wondering South Africa wanatufikiria nini,au wanamfikiria nini Rais Kikwete wanapomuona Dr. Ulimboka kule. We have reason to suspect kwamba Ndugu Kikwete is a little bit unpopular huko South Africa.
Sasa hivi watu wako on tenterhooks. Hii siyo hali nzuri,kwa watu kuwa on tenterhooks, kwa sababu under such conditions,a signal may somehow be given,and then sparks will fly.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Source: Taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV. Waandishi wa habari wazuiwa kuingia wodini
 
Si walisema mgomo umeisha sasa nini tena jamani, ina maana jamaa DHAIFU wametupiga changa la macho
 
Rais aliendesha kikao cha baraza la mawaziri week hii huko Dodoma, leo alikuwa Sabasaba huku anavinjari (bad PR), Waziri mkuu tunaambiwa kapata safari, wagonjwa bado wanaendelea kutaabika, bunge linaendelea as if mambo ni shwari. Wakati huo huo Dr Ulimboka yuko nje ya nchi anapata matibabu chini ya ulinzi mkali dhidi ya 'serikali yake'. Kweli Tanzania tumepatikana.

Kwa mawazo yangu kadri siku zinavyozidi kusonga ndiyo huo mchezo wa serikali unazidi kula kwao. Na inatakiwa CCM na viongozi wote serikalini wasali sala zote wanazojua ili Dr Ulimboka apone. Vingenevyo (mungu apitishe mbali) upo uwezekano wa huu mgogoro kugeuka na kuwa kama ugonjwa wa kuambukiza.
 
Nafikiri sasa wabunge wakimaliza Bunge la Bajeti,waingie Muhimbili na KCMC wakatibu wagonjwa kuzuia vifo vitakavyofuata sambamba na mgomo huu..
 
Mkuu wangu, kawaambie madaktari kama kweli wana hoja wakae majumbani kwao wasiguse hospitali kabisa, madr wamekosa support ya umma baada ya kugundulika kuwa mgomo wao unasukumwa na siasa na ubinafsi. Hebu nikuulize, ni ipi kwa ufahamu wako ndio hoja kuu ya madaktari

tumeyakatiba
Mkuu hicho unachokiita madaktari wamekosa support baada ya kugundulika kuwa mgomo wao unasukumwa na siasa na ubinafsi,,,,

Hivi huo ugunduzi kwamba mgomo wa doctors ni kwa sababu za siasa na ubinafsi,
umekuja baada ya uchunguzi upi, nifahamishe tafadhali.

Na huo umma wa watanzania ni lini umepinga mgomo kwa kutokusupport madaktari, hivi kuna tamko lililoomba ushiriki wa wananchi kusapport doctors kugoma,,,,? kwamba sisi watanzania kabla mgomo haujaanza tuliombwa kusupport mgomo na kwamba sasa baada ya ugunduzi imeonekana tumeingizwa chaka kwa sababu mgomo uko nyuma ya siasa na ubinafsi,,,, na kwa hiyo,,,,,! Mkulu hapo umechemka.

Na mwisho unaposema doctors hawana madai ya msingi nn mantiki yako labda...

Kama nilivyosema awali kuwa ww ulieongea na Rafiki yako na akakwambia kuwa hamna mgomo, kwa macho yako na huyo nduguyo hakuna mgomo, ila elewa kuwa mgomo upo, Period.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna mgomo, hata JF ni wapenzi wa chama fulani cha kisiasa ndio wasingependa kuona mgomo unaisha. Ila mkuu wangu hakuna mgomo, madr hawakuwa na hoja ya msingi.

"… there are no American troops in Baghdad, ….the Americans are committing suicide by the hundreds at the city's gates…" Al-Sahhaf, (a.k.a Comical Ali) 7 April, 2003
 
Tanzania bila ccm inawezekana kabisa, Huu usanii wa kudanganya mgomo umeisha kumbe bado ni Ukandamizaji na ni UUaji wa Halaiki ya wananchi wa Tanzania
 
Nafikiri sasa wabunge wakimaliza Bunge la Bajeti,waingie Muhimbili na KCMC wakatibu wagonjwa kuzuia vifo vitakavyofuata sambamba na mgomo huu..
Taarifa ya Habari haikuafanua nachoomba MaDr waachie ngazi kwani ni lazima kung'ang'ania mikasi na vifaa vya walipa kodi?
 
Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
mmmmh!! umwa uende Muhimbili uone balaa lake!!
 
Mh, haya mambo hadi lini?...
hadi kieleweke.jenerali ulimwengu ashawahi kusema katika makala yake moja kwamba tz tunaongozwa na a schizophrenic gvt.hawaeleki na wala hawaaniki!ni vigeugeu legelege dhaifu.madr kazeni buti.Liwalo na liwe
 
hadi kieleweke.jenerali ulimwengu ashawahi kusema katika makala yake moja kwamba tz tunaongozwa na a schizophrenic gvt.hawaeleki na wala hawaaniki!ni vigeugeu legelege dhaifu.madr kazeni buti.Liwalo na liwe

Duh, halafu wabunge wanajiandaa kucheza mechi kwenye tamasha la matumaini!...
 
Back
Top Bottom