Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Sio watu wenye dini katika nchi hii, hakuwezi kuwa na sheria za dini kwa nchi kuhusu hayo mambo.
Sawa Mkuu...tufuate sheria za nchi...kwa Dini ndo Nini?...Unamawazo mazuri Sana...
 
Unaweza kuniambia hiyo sindano ya ganzi inaitwaje ? Na inachomwa wapi?

Wabongo mnajifanya wajuaji sana wakati unachosimulia hapa ni uongo mtupu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna sista alienda Hosp alikuwa na shida flani akaambiwa na Dr. ana kutu huko chini hivyo inatakiwa itolewe kabla ya tiba hivyo Dr. akachomeka mkuyenge.
Kuna mwingine hapa wilayani kuna kituo cha afya mganga wa zamu alikutwa anakula mgonjwa mwenye drip aliyekuwa amelazwa hapo.
 
Mimi Daktari,,,ni kweli anayosema mtoa mada ,huwa wanafanya hasa kwa wale wanaotaka kutoa mimba na sio walioharibikiwa na mimba maana aliyeharibikiwa sehemu haiwi safi.
Ur not serious too.

Mtu ameenda kusafishwa kizazi aombwe ngono na huo uchafu?! Usiwachafue madakitari wetu bana.
 
Mkuu upo jf na bado unaogopa hadi uandike herufi "x".
 
Naona ni ngumu sana, wale jamaa wanajiheshimu sana.
Siwatetei.
 
Hatutaki udini, nchi yetu haina dina.
Kama mnahusudu sana hizo system za kidini hamieni huko kwa mujahedeen


Dah we jamaa nimekutolea mfano kwa dada yako na mama yako afanyiwe hivyo it shows uko tayari. Kwa style hii madaktari watajiachia munoo.
 
Ushaambiwa analaghai.tatizo halipo anasema lipo ili ajinufaishe.
 
Ushaambiwa analaghai.tatizo halipo anasema lipo ili ajinufaishe.
 
Ninavyojua mimi daktari wa kiume hatakiwi kumfanyia mwanamke procedure bila uwepo wa nurse mwanamke au hata kumfanyia vipimo ambayo vinahusisha sehemu za siri au zinazoonyesha maungo ya mwanamke ni lazima nurse awepo ....i stand to be corrected

Nilikua naatend kwa daktari mmoja wakati nipo mjamzito , kila wakati ikifika kwenye kupima mapigo ya moyo ya mtoto kama sijaenda na Mr, anamwita nurse kwanza halafu baada ya hapo ndio ananiambia panda kitandani pandisha gauni
 
Utakuwa ushaliwa nn ..Maana unaleta ujuaji mpaka unaenda nje ya mada
 
Haijalishi ni rare au nyingi we kubali Sio kuleta ujuaji kwa vitu ambavyo huvijui
 
Kwani madaktari ni malaika?
Wana weaknesses kama binadamu wengine.
Wanaweza kufanya lolote lile ili kuburudisha mioyo yao.
Sidhani kama ni rahisi hivyo,labda kama alienda kufanyiwa hiyo huduma ghetoni kwa dakitari.
 
Sasa kwa akili yako kuna mwanamke atakubali alitombwa na daktari in one way or another katika process ya kupewa huduma? Wa ku confess hili ni madaktari ambao wamo humu pia.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jamaa hajiongezi ..Tena Hawa mademu wanaopinga kwa nguvu unaweza kuta washaliwa
 
Haya mambo yapo Sana hakuna kufichana wala kudanganyana,

Nimeshakutana na malalamiko mengi tu ya wanawake ambao wanasema madaktari wamewatongoza baada ya kupata huduma kwao.

Kuna mmoja anasema alikuwa na Anxiety disorder lakini daktari akawa anataka kumfanyia vipimo kwa kuingiza vidole kwenye uke wake, halafu Dr mwenyewe kibabu kabisa hutaamini hayo mambo Kama anafanya.

Madaktari wabakie kwenye ethics zao tu maana kama kulala na wake, girlfriend's na dada za watu wanafanya Sana.

Mpeleke mkeo hospital bila usimamizi wako at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…