Lengo langu ni kukusaidia ili ujue dunia iko wapi. Kama mmeamua kuwa Muhimbili mtawatumia watu kufundisha bila kuheshimu matakwa yao na kwamba wakikataa mnawafukuza shauri yenu, lakini usidanganye watu kuwa huo ndio utaatibu wa worldwide, no way. Huna evidence lakini unakataa evidence ninazokupa. Mimi sitachoka kukupa evindence zaidi.
Angalia chapisho hili na NHS ya Uingereza. Soma sehemu inayozungumzia
Experiments, medical research and teaching wanasema "
You have the right to refuse to participate in teaching without your treatment being affected. If you do not want to be involved in teaching, it is advisable to inform the hospital in advance." Kwa hiyo kama ulikuwa unadhani mnavyofanya Muhimbili ndio utaratibu uliokuwepo worldwide, ulikuwa unajidanganya.
Soma hapa
Citizens Advice - NHS patients' rights
By the way, jifunze kuongea na kufanya kazi kwa evidence. Hii ni era ya Evidence Based Medicine, sio era ya kujitamba kuwa mjuaji with empty words. Do you have any evidence to support your arguments?