Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 320
Na kesho madaktari wasipoenda, itabidi yeye awajibike tumechoka kwa kauli za kupuuzi za watawala wa Africa
Hawa ndio viongozi tunaowategemea watuvushe kwenye hii era ya science na tekelinalotujia.Mh Pinda huwa ananifurahisha sana
![]()
Huyu Mkuu waziri anapenda sana maigizo
In February 2008, Pinda was sworn under the oath of protecting and defending watanzania. Surprisingly, he looks helpless, whilst Tanzanians are dying as a result of an avoidable strike. We have become a strike republic, not 'united' any more.
Nchi za wenzetu madaktari wanakuna vichwa jinsi gani ya kuja na Medical Breakthroughs, sisi, wanakuna vichwa jinsi gani ya kupambana na uzembe wa serikali na siasa zake. Tatizo ni kwamba, Tanzania, sekta ya Afya inaendeshwa kisiasa, kuanzia process ya kuandaa bajeti, allocation of resources, to the management of the sector. Na mfumo wetu bado ni ule ile wa enzi za welfare and developmental state. Pia katika mfumo ule, kupingana na kitu chochote, hata kama ni cha msingi kabisa, ulikuwa unaonekana msaliti kwa taifa lako la kijamaa.
Pinda angetumia busara zaidi kwa kusisitia umuhimu wa kubadilisha mfumo mzima wa sekta afya, ili awe ukurasa mmoja na moja ya madai ya madaktari kwamba uongozi wizarani ni mbovu. Ameshindwa nini kutoa tamko kama alilotoa bungeni wakati wa sakata la Jairo? Angesema tu kwamba Rais yupo nje, akirudi, tutaliangalia hili, hasa la kubadili mfumo wa sekta ya afya. Then Rais angefanya tu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lengo likiwa ni kubadili mfumo wa wizara uliopitwa na wakati, ili kuondoa ufisadi na siasa. Kwa ahadi hii tu, madaktari wangepata moyo kwamba wanasikilizwa, hivyo wangerudi makazini, huku serikali ikiahidi kushughulikia mengine, especially in the context of the next budget ya June 2012.
Kuanzia mwaka ujao wa fedha, serikali ingeachana tabia mbovu ya kutenga 75% of the budget kwa matumizi ya wizarani, na hospitali za rufaa na taasisi za kitaifa (humo humo ikiwa ni pamoja na posho, mishahara, tiba za wakubwa nje), huku hospitali nyingine za mikoa, wilaya, na zahanati vijijini ziikipata the remaining 25%, ambayo hata hivyo, zinaishia mikoani mifukoni mwa wachace, na baadhi ya wilaya. Ndio maana unakuta wataalam wengi wanakimbilia up the ladder (hospitali za rufaa, taasisi kadhaa za afya, na baadhi ya mikoa), kwa sababu huku ndio kuna more resources allocated, hivyo kupelekea too much manpower to chase too few resources. Many years ago, pia African Union walikubaliana kwamba kila nchi itenge 15% ya bajeti yake kwa ajili ya sekta ya Afya. Since then, Tanzania haijawahi kufikisha anything beyond 8%.
Iwapo Mizengo Pinda angeahidi haya - kufumua sekta ya afya na pia kubadilisha how resources are being allocated in the sector, hapo Pinda angekuwa in-line na kiapo chake cha to protect and defend watanzania, na sio kuachia watanzania wafe kwa mgomo unaotatulika.
Madaktari wamekutana na waandishi wa habari muda si mrefu na kutoa kauli ya kukaidi amri ya Waziri Mkuu juu ya wao kurejea makazini kesho.
![]()
![]()
Dr. Stephen Ulimboka, mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari akitoa tamko lao...
Watafute suluhu zaidi ya kuwataka wakutane nao> ni nani ambae hakwenda? Ushabiki mwingine ni hatari kwa Taifa! Kwenye ukweli muuseme, tumeona kuwa madaktari ndio wakorofi. Tena nna uhakika ni vijidaktari visvyokuwa na uzoefu.
Nna uhakika Pinda anajuwa anachokifanya na wamesha fanya assessment ya nani atarudi na nani harudi, ndio maana akafikia hayo maamuzi.
Ni wakati Serikali ianze kuwa na udikteta la sivyo every tom, dick and harry watataka wawapandie kichwani.
Mchambuzi,
Serikali yetu imejaa wababaishaji wengi, wapo mawaziri wengi wamepewa wizara wakiwa hawana uwezo wa kuongoza, na hicho ndicho kinachokwamisha utendaji wa serikali, hata mh. Pinda mwenyewe hakustahili kupewa hiyo nafasi ya uwaziri mkuu, uteuzi wake ulikuwa ni wa kisiasa zaidi kuliko utendaji, tukirudi kwenye mgomo wa madaktari ukweli viongozi husika hawana wanachojali, wao matibabu yao ni India labda wagome madaktari wa India ndipo watakapofungua macho na masikio, inakuwaje nchi inakabiliwa na mgomo madaktari mh. Raisi na makamu wote wapo safarini?
Chama
Gongo la Mboto DSM
kafara ya ujinga wenu kuwachagua wezi na wasanii!lkn mama ukianguka kesho ghafla huyoooooo uengereza, sisi hapa tunakufa. Mtoto wako akiugua tu huyooo china na baba . Sisi maskini tutakufa.
Ni kipi kinachofanikiwa kwa Miafrika?
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
Tunashindwa kujifunza kwa wenzetu waliojitawala na kutawala wengine kabla yetu, iliwachukuwa miaka mingi sana kufikia walipofikia. Sisi badala ya kuchukuwa "advantage" tunawaona wao wajinga, sisi ndio wajanja, itatuchukuwa miaka mingi zaidi ya hao walioanza kujitegemea kabla yetu.
Aliletwa Mzungu pale Muhimbili, na matokeo tukaanza kuona mabadiliko ya haraka haraka, hospitali ikaanza kuwa safi, majengo yakaanza kufanyiwa ukarabati wa uhakika, madaktari wakaanza kuwepo, huduma zikaanza kuboreka. Tulichokifanya? tukamtilia kila aina ya fitina na majungu mpaka akawa anatishiwa maisha, ikabisi aondoke bila kuaga, sababu? alikuwa anazibia watu mianya ya kuiba. Badala ya kujifunza na kuchukuwa utaaalam kwa watu ambao kwao wameyapitia tunayopitia sasa miaka na vikaka vilivyopita,
Matatizo yetu hayatoisha leo wala kesho, ni lazima tukubali ukweli, hatuwezi kitu, tufanye kama nchi za Kiarabu wanavyofanya, wameweka ma "adviser" kila idara na sehemu za muhimu, Matokeo? leo nenda nchi za Kiarabu ukaone, hata Mandela alipoumwa macho alienda kutibiwa Saudi Arabia.
Hakuna tunachoweza.
FF hata wewe umekata tamaa? I didn't expect this from you...hakuna tunaloweza? Oooh, yes we can do something! Are you seating in public office believing that we can't do anything positive for our good nation? Is this the spirit? Kama wewe umejikatia tamaa huwa unatoa maamuzi gani kama mtumishi?
Ma "advisor" kama waarabu? Kwani makatibu wakuu ni nani kama sio advisors? Au tubadilishe title tu zao? Halafu hao the-so-called advisors watapata support na watawezeshwa kushauri inavyopaswa na wakasikilizwa? Au wataundiwa zengwe na kutupwa nje? Give me a break, FF, I strongly believe we can do something, siyo kukaa tu na kusema hatuwezi kufanya jambo lolote.
Leo umeongea na nimeona jinsi ulivyo. Mtupu na umekata tamaa. Eti hatuwezi jambo lolote! Si kweli. tunaweza kuleta maendeleo katika nchi yetu. No wonder watu wamejikatia tamaa kama wewe wanakula kila mtu kivyake kwa urefu wa kamba yake.
In February 2008, Pinda was sworn under the oath of protecting and defending watanzania. Surprisingly, he looks helpless, whilst Tanzanians are dying as a result of an avoidable strike. We have become a ‘strike republic', not 'united' any more.
Nchi za wenzetu madaktari wanakuna vichwa jinsi gani ya kuja na Medical Breakthroughs, sisi, wanakuna vichwa jinsi gani ya kupambana na uzembe wa serikali na siasa zake. Tatizo ni kwamba, Tanzania, sekta ya Afya inaendeshwa kisiasa, kuanzia process ya kuandaa bajeti, allocation of resources, to the management of the sector. Na mfumo wetu bado ni ule ile wa enzi za welfare and developmental state. Pia katika mfumo ule, kupingana na kitu chochote, hata kama ni cha msingi kabisa, ulikuwa unaonekana msaliti kwa taifa lako la kijamaa.
Pinda angetumia busara zaidi kwa kusisitia umuhimu wa kubadilisha mfumo mzima wa sekta afya, ili awe ukurasa mmoja na moja ya madai ya madaktari kwamba uongozi wizarani ni mbovu. Ameshindwa nini kutoa tamko kama alilotoa bungeni wakati wa sakata la Jairo? Angesema tu kwamba Rais yupo nje, akirudi, tutaliangalia hili, hasa la kubadili mfumo wa sekta ya afya. Then Rais angefanya tu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lengo likiwa ni kubadili mfumo wa wizara uliopitwa na wakati, ili kuondoa ufisadi na siasa. Kwa ahadi hii tu, madaktari wangepata moyo kwamba wanasikilizwa, hivyo wangerudi makazini, huku serikali ikiahidi kushughulikia mengine, especially in the context of the next budget ya June 2012.
Kuanzia mwaka ujao wa fedha, serikali ingeachana tabia mbovu ya kutenga 75% of the budget kwa matumizi ya wizarani, na hospitali za rufaa na taasisi za kitaifa (humo humo ikiwa ni pamoja na posho, mishahara, tiba za wakubwa nje), huku hospitali nyingine za mikoa, wilaya, na zahanati vijijini ziikipata the remaining 25%, ambayo hata hivyo, zinaishia mikoani mifukoni mwa wachace, na baadhi ya wilaya. Ndio maana unakuta wataalam wengi wanakimbilia up the ladder (hospitali za rufaa, taasisi kadhaa za afya, na baadhi ya mikoa), kwa sababu huku ndio kuna more resources allocated, hivyo kupelekea ‘too much manpower to chase too few resources'. Many years ago, pia African Union walikubaliana kwamba kila nchi itenge 15% ya bajeti yake kwa ajili ya sekta ya Afya. Since then, Tanzania haijawahi kufikisha anything beyond 8%.
Iwapo Mizengo Pinda angeahidi haya - kufumua sekta ya afya na pia kubadilisha how resources are being allocated in the sector, hapo Pinda angekuwa in-line na kiapo chake cha to protect and defend watanzania, na sio kuachia watanzania wafe kwa mgomo unaotatulika.
Ni kipi kinachofanikiwa kwa Miafrika?
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
Tunashindwa kujifunza kwa wenzetu waliojitawala na kutawala wengine kabla yetu, iliwachukuwa miaka mingi sana kufikia walipofikia. Sisi badala ya kuchukuwa "advantage" tunawaona wao wajinga, sisi ndio wajanja, itatuchukuwa miaka mingi zaidi ya hao walioanza kujitegemea kabla yetu.
Aliletwa Mzungu pale Muhimbili, na matokeo tukaanza kuona mabadiliko ya haraka haraka, hospitali ikaanza kuwa safi, majengo yakaanza kufanyiwa ukarabati wa uhakika, madaktari wakaanza kuwepo, huduma zikaanza kuboreka. Tulichokifanya? tukamtilia kila aina ya fitina na majungu mpaka akawa anatishiwa maisha, ikabisi aondoke bila kuaga, sababu? alikuwa anazibia watu mianya ya kuiba. Badala ya kujifunza na kuchukuwa utaaalam kwa watu ambao kwao wameyapitia tunayopitia sasa miaka na vikaka vilivyopita,
Matatizo yetu hayatoisha leo wala kesho, ni lazima tukubali ukweli, hatuwezi kitu, tufanye kama nchi za Kiarabu wanavyofanya, wameweka ma "adviser" kila idara na sehemu za muhimu, Matokeo? leo nenda nchi za Kiarabu ukaone, hata Mandela alipoumwa macho alienda kutibiwa Saudi Arabia.
Hakuna tunachoweza.
Kamanda umewesema vyema, true diagnosis, na true prognosis ya mgonjwa, tatizo na wewe umetoa prescription ya kisiasa!!!! lakini ni better kuliko ile ya fundi skurubu pinda kufanya doctors kama wanafunzi wa vyuo...
KUhusu bajeti, and the budgetting process, my brother that is when i realised that we dont have the minister for health, his deputy au PS au hata CMO, walichakachua bajeti, wakatumia baadhi ya watu wa kamati ya bunge, wakawahonga, wakafuni kombe, kibaya zaidi madaktari wanajua kilichotokea, vijana wa sikika wakaleta waliyoyaona... but in a jungle state, memos were circulated, shoddy justifications were set and boom the budget passed, TUNAJUA KILICHOFANYIKA
From that day, i learnt kwamba Wizara ya Afya imeingia gundu/najisi kabisa..... and what we see is just a tip of an inceberg
Jiulize swali moja.... WHO SUFFERS IN ALL THIS???? Mpiga kura aliyenyimwa elimu, nafasi, haki na usawa... huu ni mtaji, but this time wataalam wa afya watafanya waliyoweza wasomi wa ukerewe, kwenda nyumbani kuelimisha, kila mmoja kwenye jimbo lake ka kusema kweli nini kilitokea, kutibu bure, kushawishi wanachi juu ya maradhi yawasumbuayo, kusema ukweli bei ya dawa wanayotumia na gharama inayokua accounted mwisho wa siku kwenye vitabu vya serikali
there are three years remainig and that gives medical personnel time to document ukweli wa sekta, tena kwa nafasi na wakati, free na hakuna atakayestop this one
PINDA KWA HILI AMEPINDA, NA AMEPINDISHA FACTS, ILI TU KUPINDISHA HAKI NA HII INAPINDISHA SOCIAL JUSTICE PRINCIPLES
Matatizo sio hayo tu, tazama Kikwete anavyohangaika kuleta wawekezaji, anahangaika kuwaomba waweke vitivo vya sayansi Dodoma, amewaomba wachina waweke kituo cha utafiti wa kilimo (nadhani Morogoro kama sikosei). Nna uhakika wakiondoka, sisi hatutoweza, kwa sababu bado, bado, bado.
Tunahitaji tukakae sana na Mzee Mahathir Muhammad kabla hajafa atuelezee aliwezaje? tena tuwe serious kweli kweli. La sivyo? maendeleo tutayasikia tu katika kizazi chetu hiki.
Ikiwa lei Kikwete kafanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake na tunamuona hajafanya unafikiri nani ataeweza? just kwa kuwa ni wa tabaka fulani tu, chuki, uhasidi, kejeli, "sabotages", kwa kuwa tu hajatoka katika kundi fulani. Huu ni ugonjwa mbaya sana tulipkuwa nao.
Leo ukimuuliza mtu akwambie nioneshe ambacho walifanya Marais waliopita ambacho Kikwete hajakifanya zaidi yao, hakuna anaeweza, kwani kafanya kweli, sasa kama rais aliyefanya kuliko Rais mwingine yeyote wa kabla yake mnashindwa kukubali aliyoyafanya kwa sababu tu hajatoka kwenye tabaka lenu, huo kama sio uchawi ni nini? Unafikiri uchawi mpaka uende ukatazame nyota? hao watazama nyota wamejaa dunia nzima, lakini uchawi wa kweli ni huu, wa kutothamini mtu kwa tabaka lake tu na si zaidi ya hapo.
ff acha urongo! Kikwete ni mbadhirifu wa mali za nchi, mwizi, hana vision! Hata kodi hawezi kusanya! Uchumi umekuwa mgogoro! Serikali lege lege na imejaa ushikaji kila kitu ni midhaha tu
kwenda kuroga kutwa kucha.....Hizo pumba tu. Ukweli unashindwa kuusema, nioneshe kimoja ambacho walifanya wa kabla yake yeye hakukifanya zaidi yao.
kamanda, serikali inakusanya kweli kodi za wafanyakazi, lakini sio wafnyabiashara, kwani wao huwasilisha direct kwa wakuu kwenye maboksi na visalfeti... Yupo mmoja kigambo ana ardhi kuliko ikulu, anahonga balaa
Hizo pumba tu. Ukweli unashindwa kuusema, nioneshe kimoja ambacho walifanya wa kabla yake yeye hakukifanya zaidi yao.