nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Sasa sura ya Pindi inauhusiana vipi na migomo ya madaktari? Mijitu mingine bana inajifanya inajua kila kitu.
Wewe unaona anchokiamua ni sahihi au wewe ni mfanyakazi wake?
Sasa sura ya Pindi inauhusiana vipi na migomo ya madaktari? Mijitu mingine bana inajifanya inajua kila kitu.
Ulifikili yupo kwenye burn tu?hata wewe?
Serikali ya awamu ya nne inaongoza kuwa na watendaji viongozi magarasa,Pinda is a clown.
Ulifikili yupo kwenye burn tu?
Sikutegemea jitu linalojiita toto la mkulima kutoa vitisho badala ya kutoa suruhisho watanzania wasiendelee kufa, kweli magamba wamechoka kichwani nadhani wamelogwa.
sasa hata hiyo nusu watapata wapi wakati hawakwenda kwenye majadiliano?hosipitali yangu ni muhimbili na mimi mwenyewe,lakini pia hata mimi nimepoteza ndugu wawili, juzi na jana.Ni lazima tujifunze kuheshimu taaluma na kuwapa sitahiki zao,kamwe sitabadili kauli yangu,wanahitaji kuthaminiwa na kusikilizwa kwa upendo nimewashuhudia wakifanya kazi kwa shida sana.
Mji Mkongwe, naomba ukajifunze maisha na mazingira magumu waliomo please,naomba tuungane nao japo wapate nusu ya kile wanachokiomba.
siyo kwamba Viongozi hawaelewi,bali Viongozi tulionao leo hawajui thamani ya watu wanaowaongoza.
Ndiyo maana wanaweza kupeana maagizo rahisi sana,na kwa wepesi sana.
nimesikitishwa na kauli ya waziri eti alikuwa na safari ya kwenda Arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NINI MAANA YAKE HAKUONA UMUHIMU WA MADAKTARI BALI ALIONA UMUHIMU WA MFU ALIYEMALIZA KAZI YAKE,NINI ALIPATA KULE MSIBANI?
LEO ANALALAMIKA NINI?
NDUGU ZANGU LET US BE SERIOUS.
madaktari wasipoeenda kazini kesho, watakuwa wamejifukuzisha kazini halafu serikali itachukua madaktari kutoka jeshini,na maeneo mengine yenye ziada ya madaktari
Huyu Pinda ni kwamba tuliruka mkaa tukakanyaga majivu