fikrapevu sungura
Senior Member
- Oct 26, 2011
- 110
- 11
Aluta continua, mkirudi nyuma ntawadharau sana.
NI kweli kabisa, ila wamekosea kitu kimoja, Ulimboka is there for a purpose!!! na jamaa ni jembe😛oaWanavyomnanga Dr. Ulimboka wananikumbushia enzi za Mgaya na mgomo wa wafanyakazi! Inashangaza kuona kuwa kila anayejitokeza kuiface serikali bila uoga ana-happen kuwa mkorofi na mwenye utovu wa maadili!! Siku wananchi wote wakiandamana na kuichachamalia serikali katika kudai haki zao ndipo watakapojua hali halisi. Ingawa ninahisi kwa jinsi walivyotugawanya haitokuwa
uaminifu, uongozi....Hizo pumba tu. Ukweli unashindwa kuusema, nioneshe kimoja ambacho walifanya wa kabla yake yeye hakukifanya zaidi yao.
Serikali tatizo kila kitu inafanya ubabe wakijiona wao ni wajuaji zaidi mbona wakati wabunge wanajiongezea posho Pinda hakutoa kauli au amri yoyte ile lakini leo hii kwa madaktari anajifanya kutoa kauli za kuwatishia kuwa watafukuzwa kazi, tatizo la Pinda nafikiri kazi yake ni kupokea maelekezo na kuyatamka hivyo hivyo bila kujua athari zake mbeleni zikoje...
Lakini mwajiri wao ni serikali wanatakiwa kusikiliza Pinda atakutana nao lini na sio wao wanataka kukutana naye lini. Hao sasa hivi hawana kazi hawana majukumu ya kiserikali wakati Pinda anaendelea na kazi zake hivyo wakati alokuwa nao ni Jumapili na kawaomba wakutane leo. Wao wanachopinga kukutana leo ni nini haswa. kusubiri wengine wanaotoka bara?.. halafu wakifika ndio agenda zitabadilika au?.. Aaaah mimi naona mizinguo mitupu sii hawa madaktari wala serikali maana wanachokiomba hakiwezi patikana leo wala kesho pengine posho peke yake ndio inaweza kukubaliwa mara moja..
Dai mshahara mzuri nitakubaliana na wewe lakini posho? ambayo mimi sikubaliani na hata ya Wabunge halafu nikae hapa na kuwapa suipport wakati napinga posho za wabunge. Huu utakuwa unafiki wa nafsi yangu kubadilika kwa sababu ati wabunge wamepewa. Sikubaliani na posho ya vikao iwe kwa wabunge, watumishi wa serikali au madaktari. Na nitaendelea kupinga hadi siku haki yangu itakaposikilizwa na pande zote na kuwa sheria.
mmh wakirudi nyuma nitawaona wa ajabu haswa.
washikamane mpaka kieleweke.
kila la kheri doctors.
sasa mimi dr wa wanyama sijui niwaunge mkono hawa jamaa..........\Orait, kesho siendi kuwatibu wale wadudu wa mzee Macha.
Nagomaaaa.........I am supporting you guys.........100% pamoja.
Ikiwa lei Kikwete kafanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake na tunamuona hajafanya unafikiri nani ataeweza? just kwa kuwa ni wa tabaka fulani tu, chuki, uhasidi, kejeli, "sabotages", kwa kuwa tu hajatoka katika kundi fulani. Huu ni ugonjwa mbaya sana tulipkuwa nao.
Leo ukimuuliza mtu akwambie nioneshe ambacho walifanya Marais waliopita ambacho Kikwete hajakifanya zaidi yao, hakuna anaeweza, kwani kafanya kweli, sasa kama rais aliyefanya kuliko Rais mwingine yeyote wa kabla yake mnashindwa kukubali aliyoyafanya kwa sababu tu hajatoka kwenye tabaka lenu, huo kama sio uchawi ni nini? Unafikiri uchawi mpaka uende ukatazame nyota? hao watazama nyota wamejaa dunia nzima, lakini uchawi wa kweli ni huu, wa kutothamini mtu kwa tabaka lake tu na si zaidi ya hapo.
Lini mtaamka Watz? Wake up guys ur country is in ruins held by Robbers!!!!!
teh teh,unawashangaa wenzako wakati we upo kazini kwako unasubiri kusaini posho.usiwadanganye wenzako wewe
" We must be angry if we want to save this country"
Lucy Oriang- Kenyan Journalist
The same will have to apply in Tanzania, we the people must be very angry to save our country and not the leaders. However angry they are, they will not save this country.
Do they care?