sasa mimi dr wa wanyama sijui niwaunge mkono hawa jamaa..........\Orait, kesho siendi kuwatibu wale wadudu wa mzee Macha.
Nagomaaaa.........I am supporting you guys.........100% pamoja.
Duuuh, Birigita umenivunja mbavu. Nyie mkigoma hakuna atakayewasikiliza. Kama ni mifugo ya kitoweo, wote tunakula mchicha tu!