Mkuu nisikilize vizuri, mwajiri wako anapokuita hata ukiwa kitandani unaamka na kwenda kumwona. Heshima kwanza kwa mwajiri wako hakuna habari za kufanya mgomo halafu unaweka masharti wewe kama umeichukua nchi hostage.
Nimekuwa nafuatilia sana mijadala hapa JF na nimeona waziri mkuu akitoa taarifa hizi mapema tu kiasi kwamba hata majibu yao yalikuja mapema wakitaka kukutana Jumatatu na sio Jumapili mara ukumbi gani.. Juzi Ijumaa wakati wanakutana na kina Nkya, tulipata taarifa hawataki kuzungumza na hawa viongozi, jambo ambalo sikuelewa kwa nini halafu wakamtaka waziri mkuu na mapema tulitaarifiwa waziri mkuu watakutana nao, ubishi ukawa wakutane ukumbi gani. Mvutano mkubwa ukawa kuhusu ukumbi gani wakutane na tumeyasoma hapa JF.. Kwa hiyo unachoongea hapa kusema kweli sielewi kama taarifa zinazowekwa hapa ni za uongo au maana hiyo Ijamaa yenyewe walikuwa wakibishana juu ya ukumbi na usalama wa Waziri mkuu leo iwe hawakujua mapema!