Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

zomba, wapi zinapatikana kozi nzuri za diplomasia na propaganda maana nilitegema haya mambo yangeweza kuwa contained

Hakuna diplomasi njema kama kuwa wa kweli na wenu uwazi, tutazame ni nani anawachochea hawa madaktari kugoma hata baadaya kutimiziwa masharti yao mengi? Jee, Ulimboka ni kibaraka wa watu fulani, kama ndio, kwanini asiuliwe kwa kuwa kibaraka? ikiwa vibaka tu tunawaua huyu kibaraka anaepelekea wagonjwa wetu kuendelea kuteseka kwanini asiuliwe? yeye na wenzake wanaomtumia kwa kuwa anapewa na kaahidiwa kuwa atalipwa?
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

nothing goes for nothing
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Tatizo ni pale madai hayo yanapoambatanishwa na madai ya mshahara wa milioni 3.....difficult to comprehend........
 
Hakuna diplomasi njema kama kuwa wa kweli na wenu uwazi, tutazame ni nani anawachochea hawa madaktari kugoma hata baadaya kutimiziwa masharti yao mengi? Jee, Ulimboka ni kibaraka wa watu fulani, kama ndio, kwanini asiuliwe kwa kuwa kibaraka? ikiwa vibaka tu tunawaua huyu kibaraka anaepelekea wagonjwa wetu kuendelea kuteseka kwanini asiuliwe? yeye na wenzake wanaomtumia kwa kuwa anapewa na kaahidiwa kuwa atalipwa?

Siwezi kujua nani anawachochea ila naamini ni dhamira yao ya kuwa na maisha bora kama wakurugenzi wa wilaya, wabunge na mawaziri. Mambo yao yaliyotekelezwa ni yapi? Sina shaka na ubora wa akili za madaktari maana wale wachache ninaowajua, they are really good...watashamishiwa hivi hivi tu nao wafuate kichwa kichwa? Kuna viashiria vingine ndio vinawashawishi waweze kudai hiko wanachodai.
 
Watawaita wanajeshi toka Lugalo. Sasa inasemekana mipango inaenda vizuri kuleta waganga kutoka nje ya nchi LIWALO NA LIWE anao mpango kamambe ndio maana ya maneno ya kiburi kutokauka mdomoni dhidi ya madaktari. Tusubiri manesi waweke silaha chini nao, maana watafanya kazi na nani wakati mabosi wao wameweka silaha chini? Ofcourse wabunge na serikali wataenda Apollo Hospital, pesa TRA wanaitafuta.
 
Bravooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!! Safi sana mabingwa wote naomba isiwe muhi2 pekeyake mgomo uwe wa nchi nzima eeh "liwalo na liwe" kama mbwai mbawimbwai tu ....

BornTown....chonde chonde kidole na macho.....huyo wa liwalo na liwe athari za mgomo hazimgusi kwa namna yeyote ile...yawezekana hata mimi na wewe hatutibiwi kwenye hizo hospitali za waliogoma au tunakutana nao Regency, Aga Khan, Hindumandal nk....Je watanzania wenzetu wote including ndg zako waliotawanyika maeneo mbali mbali wana uwezo wa kutibiwa huko?? Kwa sasa tu wazima hatujui kesho tutajikuta katika mazingira gani (kama ambavyo Ulimboka hakujua pia)...Mgomo wa madaktari kamwe sio jambo la kushabikia na wanaoadhibiwa katika mgomo huu sio wahusika kwani adhadbu hii haiwagusi wahusika (serekali ) moja kwa moja....
i beg to submit....
 
Hakuna diplomasi njema kama kuwa wa kweli na wenu uwazi, tutazame ni nani anawachochea hawa madaktari kugoma hata baadaya kutimiziwa masharti yao mengi? Jee, Ulimboka ni kibaraka wa watu fulani, kama ndio, kwanini asiuliwe kwa kuwa kibaraka? ikiwa vibaka tu tunawaua huyu kibaraka anaepelekea wagonjwa wetu kuendelea kuteseka kwanini asiuliwe? yeye na wenzake wanaomtumia kwa kuwa anapewa na kaahidiwa kuwa atalipwa?
Imekuwaje amri ya Raisi Dhaifu JK ikashindwa usicheze na mungu muuaji mkubwa ni KIKWETE ambaye fedha za kununulia dawa yeye amempa mwanawe ridhiwani anunue malori 10,000,mwanae halfani kipande chote cha kigamboni anakimiliki,Miraji viwanja vyote vya burka,na fedha zote za safari zake zilizobaki kazihamishia taasisi ya mkewe WAMA, hizo zote ukijumlisha wangepewa akina ulimboka na wafanyakazi wa sekta nyingine ya afya wangekuwa sasa hivi wanatutibu Muhimbili
 
madaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.

Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.

Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..

Uzalendo unahitajika!

Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?

Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.
Mshenzi na firauni ni wewe na taahira kabisa kama ulidhani madaktari na wakutomaswa mboni za macho umekosea mwambie Pinda akarudishe zile bilioni 300 uswisi zije zinunue vitanda vya kuzalia wanawake
 
[h=6]madaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.

Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.

Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..

Uzalendo unahitajika!

Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?

Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.[/h]

swali la msingi sana nalojiuliza mimi, kama watu wanailaani serikali kwa kutaka kumuua mtu anayeongoza mapambano ya kutaka serikali iwaongezee pesa (kama wanavyodai kwamba serikali inahusika), Kwanini pia hawamlaumu huyu mtu kwa kushirikiana na wenzake kuwaua watanzania wenzao (kwa migomo) kutokana na sababu hiyo hiyo ya fedha
 
madaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.

Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.

Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..

Uzalendo unahitajika!

Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?

Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.

Kenge mweupe
 
Natafuta link ya kuniwezesha kusikiliza bunge online, naomba unisaidie hata kwa PM itakua sawa au jibu hapa hapa na wengine wapate, kulikua na ile ya arusha lakini nimeisahau
wazo zuri sana na mimi pia nahitahi
 
Teh teh teh teh!!!!
Safi sana ma Dr.hivi babu wa loliondo yupo nikapige kikombe cha emergence fasta???
 
ni upuuzi wa hali ya juu kusema madokta wanachochewa au hawachochewi, kitu cha msingi ni kujiuliza kama madai yao yana msingi au la, hapo nitaona unaongea kwa kutumia akili
 
Back
Top Bottom