Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Government is like a baby. An alimentary canal with a big appetite at one end and no sense of responsibility at the other.
​
 
Tatizo kubwa hatujui upande wa pili,tunajua milion tatu na nusu,allowance blahblah,Hivi kwa nini Waziri Mkuu asiwe mnyekeevu tu akatupatia mjadala wa ripoti ya kamati ya Margareth Sitta tukaisikia,tukaijua,tukaijadili na kuona mbivu na mbichi halafu eitha tuwalaumu hawa madaktari au tuwapongeze bila hivyo serikali unachfanya ni kututawala kwa kutumia njia rahisi sana DIVIDE THEM AND RULE THEM full stop.Tufikirie hili kwanza then tuwalaumu madaktari.
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Wanatumiwa bila kujijua, Drs hamna machoooooooooooooo
 
Wewe ulitaka wapiganie nini? Kwani kina nape wanapigania nini? Kila mtu apiganie mahali alipo ndipo ilipofika nchi hii kama huna pa kupigania kula bati
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Wewe unachoona cha ajabu nini. Unaweza kulinganisha kisomo chako na cha daktari?? Iweje basi makapuku wengine TRA, Benki kuu n.k wapate mamilioni ya mshahara? Siyo kodi zetu wanatumia? Mie siyo daktari lakini nawahurumia saana.
 
Nilishawahi kusema uwezo wetu wa kuyatafakari mambo una walakini mkubwa.Kuna propaganda za upotoshaji wa tz juu ya hatua hewa zinazochukuliwa na serikali juu ya uborshaji wa huduma za afya.Nakumbuka madoc walipotoa nia yao ya kugoma serikali haikusema lolote ni nini walichokitekeleza kwenye makubaliano.Aidha PM alisema madai yao yameshaanza kutekelezwa na muda mfupi baadae madaktari wakasema PM ni mwongo,cha ajabu PM akakaa kimya kama hajasikia kitu.
Hivi alisema(hata kama kaomba msamaha) litakalokuwa na liwe ina maana madaktari wakiendelea kugoma Wtz tuendelee kufa kwa sababu ya pinda,huyu ni pm wa nanmna gani!!!!!!! anatusaidia nini!!!!!!!!tutamkumbuka kwa lipi!!!!!!!!!!!!Watz tuansubiri nini kuandamana kuwa hatumtaki huyu pm,,,,tumechoshawa naye,,,,,simpigii debe nishawahi kuwasikia watu wakinongona kuna siku tutamkumbuka lowasa edwardi.

angekua EL tungesikia leo 'kwa heshma yake,heshma ya jk,kwa heshma ya wagonjwa!anaamua kurud MNDLI',kiukwel tunamkumbuka tayari
 
gomenii mwanzo mwisho hata tukifa tutasimulia ahera mlikuwa mnadai haki zenu za msingi
 
Naomba utaje madai yaliyotekelezwa na hiyo serikali ukiachilia mbali lile la kuongeza posho ya uchunguzi wa maiti ambayo haikuombwa.......hujui inaonyesha serikali inafurahia wewe ukifa kuliko kuwa hai. Jiulize kwanini wamefanya hili?

Kumchapa ulimboka, mliomba hiyo?

Jee, hajafanywa? mbona hilo hamsemi?
 
na Baba ako aukumiwe kifo ujui kuwa watoto wa Dr tunashindia mchicha

Mchicha si ndio chakula bora, ulitaka ushindie nini? chipsi kuku? Au ulimboka ndio aliwaambia mtakula nguruwe kuku?

Mshamuuliza baba'enu anaewapa mchicha kila siku, hicho ndicho anachokula yeye? Jee, anakunywa beer?
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
Umetumwa? Kwani wakitafuta maslahi yao ni dhambi? Sasa iwapo hilo linakuwasha si uende mahakamani?
 
Kumchapa ulimboka, mliomba hiyo?

Jee, hajafanywa? mbona hilo hamsemi?
Upo nje ya point Zomba wewe ulisema serikali imetekeleza madai yote ya madaktari ila ni ubinafsi wao, nimeomba utaje hayo yote ambayo serikali imetekeleza kwa hao madaktari katika hoja zao. Ulivyoongelea kuhusu Ulimboka imekaa kama serikali huwa ina jibu kinyume na maombi ya wananchi wake, kwahiyo kwa sasa tutegemee pia hospital zote kubomolewa??
 
Wewe unachoona cha ajabu nini. Unaweza kulinganisha kisomo chako na cha daktari?? Iweje basi makapuku wengine TRA, Benki kuu n.k wapate mamilioni ya mshahara? Siyo kodi zetu wanatumia? Mie siyo daktari lakini nawahurumia saana.

UNO,

Mimi naamini kila mtu elimu yake na ujuzi wake ni muhimu kwa Taifa hili. Huwezi kusema daktari mtu muhimu kuliko Mwalimu au fundi bomba, au Engineer, au afisa masijala. KIla mtu kazi yake ni ya muhimu kwa Taifa hili huwezi kuwa na Taifa la madaktari peke yao au Engineers peke yao.

Kujibu swali lako na mimi ni muhimu kama walivyo muhimu watu wa fani nyingine.
 
Natafuta link ya kuniwezesha kusikiliza bunge online, naomba unisaidie hata kwa PM itakua sawa au jibu hapa hapa na wengine wapate, kulikua na ile ya arusha lakini nimeisahau

tumia link ya dullonet.com angalia sehemu juu imeandikwa live radio utasikia kutoka rfa ya mwanza
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Umewahi kusikia lini wabunge wanapigania kuongezwa mishahara yao? Tafadhali tumia akili za kichwani wewe!!!!
 
Back
Top Bottom