King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,685
- 68,670
Kuna mod mmoja hivi mjingamjinga.
Halafu ukipewa ban unalalamika
Kuna mod mmoja hivi mjingamjinga.
Kuna mod mmoja hivi mjingamjinga.
Du kweli maMod kiboko unaweza kuukosa uhondo wa JF ukiwachokoza, mm nawaheshimu bora ukimbilie kwenye mahusiano au mambo ya kikubwaHivi we huwajui watu wa kule?
I support the government
I support victims
Mbona hii taarifa siielewi,Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni; Aidha katika taarifa yao ambayo itatolewa baadae naDr Ulimboka inaomba kada nyingine za Afya na zisizo za Afya kama Walimu kuunga Mkono Mgomo huo mkubwa na wakimapinduzi
madaktari bingwa ni sehemu ya jumuia ya madaktari tanzania.hii ni taarifa ya kamati kwa niaba ya jumuiya hiyo.sasa wakati umefika kwa madaktari bingwa kuingia kwenye mgomo.hata vita vya uganda vilianza na mgambo na baadae wanajeshi.Mbona hiyo taarifa sio ya ma Dr bingwa ,
Nahisi either mtoa mada amejichanganya kwa kusema Ma DR bingwa ,
Au kuna taarifa zaidi inabidi tuitafute kuhusu ma Dr bingwa
Steven Ulimboka has gathered sufficient media attention over the past two weeks enough for him to contest any political position. The guy has shwredly exploited the doctors' strike to magnify his popularity and he can not ask for more.
Lakini katika hayo maadhimio yao mapya hakuna sehemu inayozungumzia mgomo wa ma Dr bingwa ?madaktari bingwa ni sehemu ya jumuia ya madaktari tanzania.hii ni taarifa ya kamati kwa niaba ya jumuiya hiyo.sasa wakati umefika kwa madaktari bingwa kuingia kwenye mgomo.hata vita vya uganda vilianza na mgambo na baadae wanajeshi.
ni kweli na siyo mod mmoja tu...inabidi ianzishwe rumande na mahakama ya jf ili mtu apate nafasi yakujiteteaKuna mod mmoja hivi mjingamjinga.