Jsaudi vipi kuhusu tiba inapatikana?
ooh! Utarudi tena.Kuna mod mmoja hivi mjingamjinga.
I support the doctors
I support the government
Hii nchi hata mwendawazimu anaweza akaongoza, mwacheni Mpona aendelee mapinduzi hayataletwa na kizazi hiki labda kizazi cha under 10, wote tunapiga kelele tu humu ndani, Mponda anaongea hivyo anatoka bungeni na leo anaweza kwenda popote na si tunamchungulia tu na kuchekacheka, wakati ilitakiwa hata kumtemeA MATE. Hapa naanza kuona uwezo wa akili wa Ma dr. kweli PCB zao wanaanza kuzitumia
kwani ni lini ulimuona akichukua hatua kwa jambo lolote liwe nyeti au la kipuuzi kwake kila kitu sawa, usifikiri kuwa ule usemi kuwa hawezi kuchukua maamuzi magumu ni kumuonea ndivo alivo!!Hivi huyu Jk anasubiri nini au amechoka nasafari ya Davos yaani anakaa kimya wakati nyumba inaungua?
Kuna mod mmoja hivi mjingamjinga.
Ametomea Tanzania hii MTM. Nisichojua ni ana sifa gani za kuweza kupewa wizara ili aiongoze. Tulipo sasa hivi watu hawaangaliwi kwa uwezo walionao. Wanaangaliwa kwa namna tofauti sana na vile uongozi unavyotaka.
Yaani mambo yanavyoenda utafikiri FAT ya Ndolanga na Rage! Ni full chaos kwa kwenda mbele!
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni.
Mgomo huo umetangwazwa kutokuwa na kikomo hadi pale Rais Kikwete atakapoa tamko rasimi la Serikali yake ikiwa ni pamoja na Bwana Mponda kuwaomba rodhi Madaktari na Watanzania wote juu ya upotoshaji alioutoa bungeni kuwa Mgomo umememalizika na hakuna athari kubwa zilizojitokeza katika mahospitali n sasa huduma zinaendelea kama kawaida.
Aidha katika taarifa yao ambayo itatolewa baadae na Dr Ulimboka inaomba kada nyingine za Afya na zisizo za Afya kama Walimu kuunga Mkono Mgomo huo mkubwa na wakimapinduzi
Source MHN
Time is not your best friend JK and ur Team plz take care, Watanzania tumechoka
Hujui kwamba jk alipimwa akakutwa ana ugonjwa wa 'upungufu wa maamuzi mwilini'?
I support the doctors
duh! Kazi ipo aisee, hivi huu mgomo utaisha lini?
Kaaaaazi kwelikweli, Taifa la Wapumbavu huongozwa Kipumbavu, You are F*^^%ed, oh! NO We ARE!!!!!