Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,979
Hili kundi linaandamwa sana aisee.
Haya yana ukweli au ni wivu tu?
Haya yana ukweli au ni wivu tu?
Mizeee ya 90's & 80's wanashindwa kuhimili mikiki mikiki ya golden generation (2000's) wamebaki kuwazungumzia vibaya
Hahahaha hahahaha tuanze na jina lako kwanza, hii Kitombise hiii tutaijadilihiyo inatokana na nyie wazazi kuwa machotara sasa mnazaa watoto wa 2000s wakiwa highbrid(engine kubwa)
makosa yameanzia kwenu wazazi, kwani hao watoto wametengenezwa maabara?
Ulitegemea nani angewazungumzia?Mbona wanaowazungumzia vibaya ni watumiaji wa bidhaa husika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mizeee ya 90's & 80's wanashindwa kuhimili mikiki mikiki ya golden generation (2000's) wamebaki kuwazungumzia vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mzee nilisikia akisema, nanukuu
"walizaliwa bila bikra ndio maana wanagawa sana"
Kwaiyo kule kuna wezi kibao🤣🤣Toka wauzaji waanze kuuza zile kamba zao,kurahisisha shots, ndo wameharibu mazima.
Mtoto na mama wakaanza kula sahani moja,kwa mtindo mmoja.
Wizi ukatanda. Na hakuna kama vya wizi. Mashindano yakaanza.
Jf bn hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa! Mama anafukuzana na kitoto sawa na mwanaeKwaiyo kule kuna wezi kibao🤣🤣
Mzee fala sana 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]