Madai: Aliyemuweka Mbongo rehani akamatwa!

Madai: Aliyemuweka Mbongo rehani akamatwa!

Maajabu mtuhumiwa wa madawa ya kulevya tena aliyekamatwa na askari yupo mtaani anakula maisha, napata shida kuamini taarifa hii, ina maana askari wakikukamata na madawa ya kulevya hupelekwi Jela tena kutumikia kifungo au mahabusu zimejaa??

hapa mkuu ndo penye utata mtu alikamatwa na unga wa trilion moja polisi wakauchukua wote halafu akasepa eti kakamtwa tena anahojiwa ina maana ukikutwa na unga polis wanauchukua unakuwa huru hatar sna.
 
This is bullshit kuweka MTU rehani kwa shilling trillion moja mnajua hizo ni tani ngapi za madawa ??
 
Hayo majitu hayafai; yafilie mbali huko
unga wa trillion kwa faida ya kutumalizia kizazi chetu;
ni heri wapigwe risasi wafie mbali, hawafaiiiiii.
 
Nawezaje kupata mawasiliano na Mh. Mwigulu Nchemba jamani? Nina taarifa za hawa jamaa wauzaji mihadarati naogopa kuzitoa polisi maana ndio wanaosababishwa raia tunachinjwa huku mtaani kwa kutoa vyanzo vya habari. pls. nisaidiwe kuna kundi linamaliza nguvu kazi ya taifa.
Acha shobo maisha magumu kitaa,,, hao wanaotumia wanaenda wenyew kununua
 
Kupenda maisha ya haraka ndo madhala yake ayo.vijana tujishughulishe na sio kwa kufanya kazi alam.
 
Conterna????,,,, powder enyew unaijua au hilo ni begi moja tu ndg

Acheni uongo na kupotosha watu. Unga Pure (Heroin) kwa Tanzania unapatikana kwa madealer wakubwa wanaoingiza mzigo toka pakistan kwa pesa za kitanzania kati ya sh 16 Milion mpaka 20 Milion. Wauzaji wa mitaani huchukua toka kwao hao na kuchanganya na chemicals nyingine(kuupika) kuuongeza ujazo na kufunga katika ujazo mdogo mdogo wa watumiaji wa kawaida. Na hiyo kilo moja haitofautiani kwa ujazo na kilo moja ya sukari, sasa wewe unayesema heroin ya trilion moja ni begi moja hebu piga hesabu vyema uone wingi wake.

Na hao mnawaona wanasinzia mitaani ni watumiaji wa Heroin.
 
“Unajua hili jambo bado lipo kwenye uchunguzi, hatuwezi kusema chochote hadi tumalize uchunguzi wetu lakini wote wanaotuhumiwa tunawasaka na tukiwakamata tutawahoji. Tukimaliza upelelezi wetu tutatoa taarifa kwa umma,” alisema kamanda huyo.
kwahio kumbe ngoma bado mbichi, basi jamaaa atakua ameshakula shaba kitambo sana, apumzike kwa amani.
 
pakamapepe kama beg moja Trillion moja ndio maana vijana wengi msioujua unga mnadanganywa mbebe kumbe ulichobeba thamani yake sio kubwa kuriko hukumu utayopata ukikamatwa China,Indonesia, Hong kong, Austraria wanakula kichwa kwa milion 50 malipo sasa huo si upuuzi huo mbona biashara harali nyingi za kuzidi hiyo pesa...
 
Acheni uongo na kupotosha watu. Unga Pure (Heroin) kwa Tanzania unapatikana kwa madealer wakubwa wanaoingiza mzigo toka pakistan kwa pesa za kitanzania kati ya sh 16 Milion mpaka 20 Milion. Wauzaji wa mitaani huchukua toka kwao hao na kuchanganya na chemicals nyingine(kuupika) kuuongeza ujazo na kufunga katika ujazo mdogo mdogo wa watumiaji wa kawaida. Na hiyo kilo moja haitofautiani kwa ujazo na kilo moja ya sukari, sasa wewe unayesema heroin ya trilion moja ni begi moja hebu piga hesabu vyema uone wingi wake.

Na hao mnawaona wanasinzia mitaani ni watumiaji wa Heroin.
Acee nakuhitaj mara moja hapa centrol njoo huisaidie polic make inaonyesha mpka hao wachanganyaji wa chemical unawafaham vzur.
 
pakamapepe kama beg moja Trillion moja ndio maana vijana wengi msioujua unga mnadanganywa mbebe kumbe ulichobeba thamani yake sio kubwa kuriko hukumu utayopata ukikamatwa China,Indonesia, Hong kong, Austraria wanakula kichwa kwa milion 50 malipo sasa huo si upuuzi huo mbona biashara harali nyingi za kuzidi hiyo pesa...
Ahsante kwa kushirik karibu tena!
 
Hawa jamaa watammaliza, trilion moja parefu, ni kama kupanda mlima kwa makalio
 
Wawanyonge tu wote hawa ndio wanafanya watu wanateseka mtaani nawachukia watu wanaojihusisha na madawa
 
Hata kama ni HELA YA KITANZANIA (HELA ZA MADAFU) napata shaka na hicho kiwango cha Trilion moja TZS 1,000,000,000,000/- one million million. Hizo ni sawa na milion moja ziwe milioni.
 
Back
Top Bottom