jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,356
Ingawaje haujataja source ni gazeti gani lakini bila shaka ni vijana wa Shigongo hao.
Ukijifunza hata hesabu tu za shule ya msingi na ukajuwa trilioni ni sawa na billion ngapi basi you can't buy this story.
Hata kama ni HELA YA KITANZANIA (HELA ZA MADAFU) napata shaka na hicho kiwango cha Trilion moja TZS 1,000,000,000,000/- one million million. Hizo ni sawa na milion moja ziwe milioni AU BILIONI ELFU MOJA!!!!!!1