Madai: Aliyemuweka Mbongo rehani akamatwa!

Kiukwel huyo jamaa wa pakistan kuzuiwa ni ukweli na juzkati polisi walivamia nyumba ya juma kigambon lakini hawakumpata ...
KUHUSU HIZO TRILION MOJA, BINAFSI NAONA NI JAHU TU, HIV WATU WANACHUKULIA POA TRILION MOJA EEENH, UKITAKA KUZIONA NYINGI SEMA NI BILIONI ELFU MOJA
Mkuu ni budget ya JMT.
 
hahaha tr=ilon moja ngoja nimgoogle huyu mdaiwa nipate hata picha yake anafananaje kuwa na deni la trl 1 ......

Kinachonifurahisha ni pale inapotamkwa “Fedha anazodaiwa Juma ni nyingi ni shilingi trilioni moja. Ni kwamba mzigo wenyewe (unga) hakufanikiwa kuuza kwani alikamatwa na askari wakamnyang’anya na sasa sijui atafanya nini ili kumuokoa mwenzake aliye ughaibuni”. Yaani jamaa alikamatwa na polisi na tukio halikufikishwa polisi, ina maana polisi waligawana mzigo!!!??? Je polisi ndio wanaohusika na yule jamaa kuwekwa bondi? Je watakubali kurudisha mzigo ili watekaji walipwe chao na yule mateka (Juma) aachiwe?
 
hivi si kwamba huyu aliachwa huko ili unga ukishauzwa hela ipelekwe .......lakini badala yake huyu mwana wa migomigo akachomoa kupeleka hela mwenzie saa hii inawezkana analiwa kiboga kama yule jamaa wa isha mashauzi😀😀😀😀😀

mabiashara mengine bora uuze maandazi ati tamaa mbaya
 
Wewe unaambiwa ticket hii, twende Paki tukirudi utakuwa na sh..........., hujiulizi ni ukarimu gani huu?
 
Wewe unaambiwa ticket hii, twende Paki tukirudi utakuwa na sh..........., hujiulizi ni ukarimu gani huu?[/QUOTE kupenda shortcut...there is no shortcut way in life hata kwenye bible imeandikwa utakula kwa jasho
 
hivi si kwamba huyu aliachwa huko ili unga ukishauzwa hela ipelekwe .......lakini badala yake huyu mwana wa migomigo akachomoa kupeleka hela mwenzie saa hii inawezkana analiwa kiboga kama yule jamaa wa isha mashauzi😀😀😀😀😀

mabiashara mengine bora uuze maandazi ati tamaa mbaya
Hivi nae yule wa Isha Mashauzi ilikuwa kama huyu Juma?! Kumbe matanuzi mengine yana siri za ajabuajabu.
 
Sasa waliochukua huo unga trillion 1 kutoka kwa juma ni hakina nani??
 
Hivi nae yule wa Isha Mashauzi ilikuwa kama huyu Juma?! Kumbe matanuzi mengine yana siri za ajabuajabu.
yule kwa mujib wa comments za hapa alichukua mapowder ya watu kafanya biashara kisha naweka noti za wenyewe takoni haha wakamuonya akajitia much know walipomkamata waliomba po...........

ngada mbaya sana
 
Nawezaje kupata mawasiliano na Mh. Mwigulu Nchemba jamani? Nina taarifa za hawa jamaa wauzaji mihadarati naogopa kuzitoa polisi maana ndio wanaosababishwa raia tunachinjwa huku mtaani kwa kutoa vyanzo vya habari. pls. nisaidiwe kuna kundi linamaliza nguvu kazi ya taifa.
Usijisumbuwe Kikwete anayo orodha ya wauza unga.
 
Kinachonifurahisha ni pale inapotamkwa “Fedha anazodaiwa Juma ni nyingi ni shilingi trilioni moja. Ni kwamba mzigo wenyewe (unga) hakufanikiwa kuuza kwani alikamatwa na askari wakamnyang’anya na sasa sijui atafanya nini ili kumuokoa mwenzake aliye ughaibuni”. Yaani jamaa alikamatwa na polisi na tukio halikufikishwa polisi, ina maana polisi waligawana mzigo!!!??? Je polisi ndio wanaohusika na yule jamaa kuwekwa bondi? Je watakubali kurudisha mzigo ili watekaji walipwe chao na yule mateka (Juma) aachiwe?
Bosi hilo nalo neno bhana. Hao mamwera waliochukua huo mpunga nao ni vipi.. Nchi ina mambo ya kishetani hii...
 
Kwa maana hiyo Juma alishakuwa na kesi ya kukamatwa na unga kabla ya huyo aliyewekwa Bond kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ??? Na kama hakukua na kesi hao polisi waliokamata huo unga sijui wa trilioni moja wameupeleka wapi ????

Unga wa trilioni moja halafu ki Bond chenyewe ni mwanadamu ? Tusidanganyane
 
Kwa maana hiyo Juma alishakuwa na kesi ya kukamatwa na unga kabla ya huyo aliyewekwa Bond kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ??? Na kama hakukua na kesi hao polisi waliokamata huo unga sijui wa trilioni moja wame upeleka wapi ????

Unga wa trilioni moja halafu ki Bond chenyewe ni mwanadamu ? Tusidanganyane
Ni kesi ya nyani hakimu ngedere.
 
Back
Top Bottom