mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,879
- 136,791
Inasemekana unga ule ni wa thamani ya 1blnnashangaa trilion? kweli waandishi wa global ni makanjanja .....
Inasemekana unga ule ni wa thamani ya 1blnnashangaa trilion? kweli waandishi wa global ni makanjanja .....
Alafu Kuna mtoto mmoja wa nini naye inasemekana Yuko bond....Ila sjui Kama atakuwa hai au la...hahaha hakuikabidhi wakati anamkabidhi magu ofisi?
mtoto wa nani mkuu funguka tutakuchangia m 7Alafu Kuna mtoto mmoja wa nini naye inasemekana Yuko bond....Ila sjui Kama atakuwa hai au la...
Siyo maarufu sana,Ila mbona bond wako wabongo wengi tu huko......Ila Hyo mtoto wa nini ni habari lakini bado kudhibitishwa....mtoto wa nani mkuu funguka tutakuchangia m 7
Noma mkuuWameichafua magomeni mpaka inakuwa shida kujitambulisha kwa anuani ya makazi ya magomeni.
SIKIRI MIMI MASIKINI. . . . . .
Ahaa unajua watu wengine kudanganya hawajui. Huyo mfanya biashara (hata ya uhalali) atakayekubali bond ya Tz 1 trillion shs kwa uhai wa mtu ni nani? Nakuapia hata ukienda na wanao watatu wa kuwazaa hawatakupa mzigo!Kwa maana hiyo Juma alishakuwa na kesi ya kukamatwa na unga kabla ya huyo aliyewekwa Bond kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ??? Na kama hakukua na kesi hao polisi waliokamata huo unga sijui wa trilioni moja wameupeleka wapi ????
Unga wa trilioni moja halafu ki Bond chenyewe ni mwanadamu ? Tusidanganyane
hee haya ngoja nianze kumfunZa binti yangu madhara ya kuwa punda, kubwia unga , na kupenda hela za fasta ili akipata deal za hivyo ajue matokeo yakeNdio maana wana jeuri mkuu.
Bank tu hapo vuka na nenda na kende zinaniginia kama bond uone hata kama mkopo wa milioni moja watakupa ,sembuse trilioni moja ,kila kitu ni maigizo tu yaaniAhaa unajua watu wengine kudanganya hawajui. Huyo mfanya biashara (hata ya uhalali) atakayekubali bond ya Tz 1 trillion shs kwa uhai wa mtu ni nani? Nakuapia hata ukienda na wanao watatu wa kuwazaa hawatakupa mzigo!
Aliyewekwa bond na mzungu wa unga ni ndugu kabisaa, Baba mkubwa na mdogo na ndio ata Baba wa kijana polisi kasema mwanae anajua yupo south Africa![]()
Mtanzania aitwaye Juma (jina lake la pili tunalihifadhi kwa sababu maalum) anayedaiwa kumuweka rehani ughaibuni Mbongo mwenzake Adam Akida Mwinyimkuu, mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa na kushikiliwa na watu wanaoaminika kuwa ni ‘Wazungu wa Unga’ , amekamatwa na polisi jijini Dar.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na waandishi wetu wiki iliyopita umebaini kuwa, Juma alikamatwa na polisi mwishoni mwa wiki iliyopita Tegeta na anahojiwa kuhusiana na kutuhumiwa kumuweka dhamana kijana Adam kisha kumtelekeza ughaibuni huku ikidaiwa kuwa yeye alikuja na shehena ya unga.
Habari zinasema ili Adamu awe huru, Juma anatakiwa kupeleka fedha shilingi trilioni moja ambazo ni gharama ya unga aliopewa, huku akimfanya mwenzake huyo kuwa ‘bond’ ya mzigo huo haramu.
“Fedha anazodaiwa Juma ni nyingi ni shilingi trilioni moja. Ni kwamba mzigo wenyewe (unga) hakufanikiwa kuuza kwani alikamatwa na askari wakamnyang’anya na sasa sijui atafanya nini ili kumuokoa mwenzake aliye ughaibuni,” kilisema chanzo chetu.
Habari zaidi zinasema kuwa licha ya Juma kuwa korokoroni, baba wa Adamu mzee Akida Mwinyimkuu naye alishikiliwa kwa muda na polisi katikati ya wiki iliyopita lakini hakuwa na msaada wowote kwa vyombo vya dola.
“Mzee Akida alikamatwa na polisi lakini badala ya kusaidia akawa anapotosha ukweli. Yeye aliwaambia polisi kuwa mtoto wake Adam hakwenda Pakistani bali alikwenda Afrika Kusini na ndivyo anavyojua. Alipooneshwa video ya mwanaye akiwa chini ya ulinzi, alishangaa na hakuwa na la kusema,” kilisema chanzo chetu.
Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Mihayo Msikhela (pichani) alipoulizwa na gazeti hili kuhusu kukamatwa kwa mzee Akida na Juma hakukiri wala kukataa.
“Unajua hili jambo bado lipo kwenye uchunguzi, hatuwezi kusema chochote hadi tumalize uchunguzi wetu lakini wote wanaotuhumiwa tunawasaka na tukiwakamata tutawahoji. Tukimaliza upelelezi wetu tutatoa taarifa kwa umma,” alisema kamanda huyo.
ahahaha sawa kiongozi boraAliyewekwa bond na mzungu wa unga ni ndugu kabisaa, Baba mkubwa na mdogo na ndio ata Baba wa kijana polisi kasema mwanae anajua yupo south Africa
Mwanzo aliwekwa bond mdogo wa uyo jamaa aliyekamatwa mda wake ukaisha akarudi bongo akajengewa nyumba bunju , kapewa na gari na pesa kama milion 30 hivi
Na hio pesa wanaodaiwa ya tillion sio kweli
Wanadaiwa kama dolla 100,000 tu
Asante sana kwa taarifa kwahiyo Adam Akida Mwinyimkuu alikuwa anapiga mahesabu ya kuuaga umasikini kwa njia ya mkato.Aliyewekwa bond na mzungu wa unga ni ndugu kabisaa, Baba mkubwa na mdogo na ndio ata Baba wa kijana polisi kasema mwanae anajua yupo south Africa
Mwanzo aliwekwa bond mdogo wa uyo jamaa aliyekamatwa mda wake ukaisha akarudi bongo akajengewa nyumba bunju , kapewa na gari na pesa kama milion 30 hivi
Na hio pesa wanaodaiwa ya tillion sio kweli
Wanadaiwa kama dolla 100,000 tu
Kumbe ni michezo yao.....hahahaaa watu wanapenda miteremko aisee nadhani hata kugegedwa wanagegedwaAliyewekwa bond na mzungu wa unga ni ndugu kabisaa, Baba mkubwa na mdogo na ndio ata Baba wa kijana polisi kasema mwanae anajua yupo south Africa