EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Is getting hot in here ..
I'm out for good , to be completely honest
I don't wanna talk about this any more ..
Teeh teh teh .. see you later ..
Noma kuwa dada yangu eh?
Is getting hot in here ..
I'm out for good , to be completely honest
I don't wanna talk about this any more ..
Teeh teh teh .. see you later ..
Sio ndio hapa najaribu kufurahi? Lakini kama ni kweli trip ya vekeshi Malawi inabidi ife. Sitahimili kumwona dada yangu anavuliwa nguo live.
Hey. . . siku hizi umekua msiri ehhh? Mbona EMT wasiwasi umedouble ghafla?
Anazuga tu huyo umpe details,we huwajui wanaume hawa?? Atakuja tu kwa wakati wake,ukimkaa rohoni kisawasawa!
Busa si ya wa Chaga bana unaniangusha..
Nawe acha kulalamiiiiika ntakuletea..
Muone vile..
Haya Kurwa.. . . Sleep tight na umuote raisi.Shuuuuuu Doto usiandike kwa nguvu atasiikiia shuuuuuu.. usiku mwema bana ..
Ohhhhhh ntakutumia basi usinune mtoto mzuri ..
Yea wachaga wanayo pombe inaitwa busa. Sio wachaga wote lakini. Ni disaini kama mbege lakini busa inatengezwa zaidi na mahindi na ulezi. Tofauti na mbege, busa ni nyeupe kidogo. Inalewesha zaidi ya mbege. Kwa vsababu ya ukata madenti tulikuwa tunaipenda hiyo ili tulewe chap chap. Wambulu nao nasika wana busa. Nafikiri pia Wakikuyu?
,
Yea wachaga wanayo pombe inaitwa busa. Sio wachaga wote lakini. Ni disaini kama mbege lakini busa inatengezwa zaidi na mahindi na ulezi. Tofauti na mbege, busa ni nyeupe kidogo. Inalewesha zaidi ya mbege. Kwa vile ya ukata madenti tulikuwa tunaipenda hiyo ili tulewe chap chap. Wambulu nao nasika wana busa. Nafikiri pia Wakikuyu?
,
Ningelalamika pasingetosha. . . hiyo ni TAARIFA BAADA YA HABARI.
Haya Kurwa.. . . Sleep tight na umuote raisi.
Anazuga tu huyo umpe details,we huwajui wanaume hawa?? Atakuja tu kwa wakati wake,ukimkaa rohoni kisawasawa!
Hhhhm . . . Dearest. Hivi mtu anafanyaje apate siti kwenye moyo wa mmoja wa hawa watu?
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.
Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??
Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
Hhhhm . . . Dearest. Hivi mtu anafanyaje apate siti kwenye moyo wa mmoja wa hawa watu?
Duuhhh I can't wait to catch up with you ae. .
Sasa unajua ile siku ambao wote tunakutana kwenye kule kikao ... piga mahesabu itakuwa saa ngapi kule manispaa ya chini .. duuhhh itabidi uniamshe ndugu yangu ..
Ni buzaa bana sio busa.
**** wee ..
Na ninakupenda kidogo ..
We dearest badala ya kutupa maujuzi unaniuliza tena mimi nisiyekuwa nae?? Tabia mbaya!!