Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
dah......umejitahidi kuelezea ila atakuuliza tu, it seems ye swala la mashemeji ndo linamtatiza sana!!!
Shemeji anakua kakaa pembeni alafu tunagongeana tu LIKE na kutumiana PM.
dah......umejitahidi kuelezea ila atakuuliza tu, it seems ye swala la mashemeji ndo linamtatiza sana!!!
Hahahahaaaa kwa hiyo unamaaisha wanakesha usiku saa hzi wanalala?Wengi wamelala muda huu watakuja kukujibu usiku!
Halafu km anawaona wadada usiku hata yeye pia halali,anakuwa JF ndo maana kawaona,sasa je yeye Hajaolewa?Shemeji anakua kakaa pembeni alafu tunagongeana tu LIKE na kutumiana PM.
Halafu km anawaona wadada usiku hata yeye pia halali,anakuwa JF ndo maana kawaona,sasa je yeye Hajaolewa?
Au ndo nyani haoni.........
Unapotaka mtu abadilike unamtaka kwa vigezo vipi? Umesikia kwamba shuguli zake hazifanyiki? Au basi tu mazoea ya mtu hawezi kufanya jambo moja at once?
Japo sina haja ya kujitetea kwako naomba tu nikupe picha kidogo ya namna nnavyofanya mambo yangu kwasababu mimi ni mmoja wa watu wanaoonekana muda mwingi pale nnapoamua kufanya hivyo.
Muda wa kunywa chai asubuhi naperuzi JF, nikiwa nafanya kazi zangu shuleni nachangia mada katikati kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa kwenye simu mikono inatype, wakati mwingine hata nikiwa njiani/dukani nakuwa online kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa naandika mambo yangu naweza nikawepo JF pia, jioni nikiwa napika ule muda wa kusubiria hiki kiungue, kile kichemke naweza nikaandika kitu JF, nikiwa nimepumzika na tv naweza nikawa online kwa wakati huo huo, nikiwa nasoma/fanya kazi zangu za shule naweza nikawa active JF, nikiwa navuta usingizi naweza nikaingia JF, nikishtuka usiku naweza nikaingia JF kama ambavyo hua naishia kuangalia TV kabla ya kurudi kulala.
So far sioni uwepo wangu wa JF unanipunguzia nini, napika, nakula,naoga,naenda shule na nnafanya kazi zangu, natimiza majukumu yangu mengine ambayo ni binafsi kidogo, nafua, nafanya usafi, nalala, napumzika, naongea na ndugu/marafiki zangu/waliopo karibu naonana nao n.k
Sasa niambie UNATAKA nibadilike kwa faida ya nani?
Shemeji anakua kakaa pembeni alafu tunagongeana tu LIKE na kutumiana PM.
Mtoa mada umenifanya nicheke bila kupenda, we umejuaje?
mmmmmmhh....??
Halafu km anawaona wadada usiku hata yeye pia halali,anakuwa JF ndo maana kawaona,.
hlf huyu anaonekana anakutafuta maneno wewe(lizzy) na Mwali,,,hebu mpeni darasa.Unapotaka mtu abadilike unamtaka kwa vigezo vipi? Umesikia kwamba shuguli zake hazifanyiki? Au basi tu mazoea ya mtu hawezi kufanya jambo moja at once?
Japo sina haja ya kujitetea kwako naomba tu nikupe picha kidogo ya namna nnavyofanya mambo yangu kwasababu mimi ni mmoja wa watu wanaoonekana muda mwingi pale nnapoamua kufanya hivyo.
Muda wa kunywa chai asubuhi naperuzi JF, nikiwa nafanya kazi zangu shuleni nachangia mada katikati kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa kwenye simu mikono inatype, wakati mwingine hata nikiwa njiani/dukani nakuwa online kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa naandika mambo yangu naweza nikawepo JF pia, jioni nikiwa napika ule muda wa kusubiria hiki kiungue, kile kichemke naweza nikaandika kitu JF, nikiwa nimepumzika na tv naweza nikawa online kwa wakati huo huo, nikiwa nasoma/fanya kazi zangu za shule naweza nikawa active JF, nikiwa navuta usingizi naweza nikaingia JF, nikishtuka usiku naweza nikaingia JF kama ambavyo hua naishia kuangalia TV kabla ya kurudi kulala.
So far sioni uwepo wangu wa JF unanipunguzia nini, napika, nakula,naoga,naenda shule na nnafanya kazi zangu, natimiza majukumu yangu mengine ambayo ni binafsi kidogo, nafua, nafanya usafi, nalala, napumzika, naongea na ndugu/marafiki zangu/waliopo karibu naonana nao n.k
Sasa niambie UNATAKA nibadilike kwa faida ya nani?
Mie mie hapa naweza sema hivi nimekuwa teja wa JF
Siwezi kufanya kazi bila catalist ya jf (mmu)km cjachangia basi nasoma post au pm kabisaaa!
Mpnz wangu mwenzenu mie ni JF,nalala nae,nakula nae,nikiwa naoga naweza futa mikono nikajib post au pm,nakula na jf yangu pemben naweka kiiko au glas chin nachangia post,choon naingia na simu najib post,
Saa ingine naweza pitiwa nausingizi nikiwa sjasign out jf,nikiwa kwenye daladala niko busy jf tena hapa nalipaga nauli mara mbili nizunguke na basi ili nipate sit nzuri niendelee na mambo yangu
Nashukuru sana hiki kicm changu cha nokia tochi kinanipa raha dudian!!huwa napumzika masaa 2 jpili nilikwa church baada ya hapo niko jf.
Generaly:JF ndio mpnz wangu,mme wangu,boyfriend wangu,rafiki yangu,jiran yangu,ndugu yangu...................................nakadhalika.
Kaka samahani sijataja mtu we ndio wasema lakini kuna ka ukweli fulani kuhusu hao uliowataja wewe.
View profile zao ni night kwa kwenda mbele!
kwani hao unaoongelea ww sio watu .....hebu wataje sasa kwenye hiyo top ten yako km vp.Kaka samahani sijataja mtu we ndio wasema lakini kuna ka ukweli fulani kuhusu hao uliowataja wewe.
View profile zao ni night kwa kwenda mbele!
ndiyo muulize sasa ,,,,,,anajidai kuzunguka zunguka tu hapa.Wewe tatizo lako ni nini haswa?
ndiyo muulize sasa ,,,,,,anajidai kuzunguka zunguka tu hapa.
ananchekesha(source;Faizafox