Ha ha ha huwezi wewe mwali wewe acha hizo bana
kuanzia sasa jifunze kutiana week end mchana utaona raha yake
BTW: Happy New Year ujue hatujaonana Endasak kwa shangazi
Hahahaha. . . EMT wasiwasi wako unasababishwa na nini?
Hahahaha. . . Mara nikirudi nikute kadata nae. Ntamuua huyo mdoli au ntamchoma?
Duuhhh ngoja ni nukuu hii ...
Kutiana weekend mchana =tick ..
Hey hivi kumbe hatujawasiliana tangu mwaka
Jana duhh ..samahani sana .
Vipi ulienda Endasaki na Dongobesh kwa
Sikukuu..
Heri ya mwaka mpya sis ...
Duhhhhh hiyo naogopa hata kufikiria..
Napenda kukuhakikishia wewe na Lizzy Luu SI
Ndugu wa damu kabisa .. nimejuaje nyumbani tumezaliwa wasichana tu ..
na wewe mamababu saa 7 au 8 we umejuaje kama na wewe haupo macho bize ndani ya jf, mwe!!
Its just a feeling. I hope its not. Maana nimeshamwona Kongosho anadadisi kiaina.
Just in case what??
........ Ila kwa sasa,wataniona hadi wapasue laptop zao!!
Hahahahahaha
Vyovyote upendavyo chinja chinja ukipenda
Na jela huendi sababu si nyumba ndogo au
House girl ..
Baadaye bana saa nane usiku eti ..
Unajua saa za nini hizi ooohooooo... lolz
At least. Ila asije akawa ni wa baba mdogo au mkubwa? In that case, wewe utakuwa sista wangu pia, which will make the things even worse.
Si unajua tena lazima niende kunywa Busa na manguree kwa ajili ya afya??
Heri ya Mpya poa tu ila nikaugua sana sikukuu zote
Is getting hot in here ..
I'm out for good , to be completely honest
I don't wanna talk about this any more ..
Teeh teh teh .. see you later ..
Si unajua tena lazima niende kunywa Busa na manguree kwa ajili ya afya??
Heri ya Mpya poa tu ila nikaugua sana sikukuu zote
Of this
Busa si ya wa Chaga bana unaniangusha..Haha haaaa haa. Busa? Umenikumbusha mbali. Kusoma uchagani kuna raha zake.
Kongosho ndio zake.
Mi nlidhani ungefurahi kama ningekua dada yako.
Hutaki kukusanya mahari JF?
Dearest EMT ana wasiwasi naweza kua dada yake, kunitongoza is out of question.
Haya nenda, na usiporudi na ahadi zangu zote tusijuane. Sasa hivi nimekuchekea kwasababu tu kuna watu hapa. . .