afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
Hili nimeipenda. Kwani hilo swali hata mimi linanipa maswali magumu sana kuhusu hawa madada zetu ambao kutwa nzima na usiku mpaka saa 8 au 9 bado wako kwenye JF wanajibu thread. Hivi hawa hata wakipata ndoa zao, je JF si itakuwa tamu kuliko familia?
Je umewahi kufikiria kuwa hao wanaojibu
Thread hata hawaishi TZ ? Saa nane ya usiku TZ ni lunch time huko waliko ..
Si kila mwana JF anaishi bongo wakuu ..