Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Wewe Mamababu umekuja kisharishari sana kuwasema wenzako.

Nikuulize wewe hizo thread za saa nane umezionaje kama na wewe sio mmojawapo??

Na wewe mpaka unaona hizo thread kazi zako unafanya saa ngapi?? Unazuia watu kuingia JF kwani wewe ndo unawapangia majukumu yao??

Eehhh kina dada kazi kwenu bora hajatusema wanaume
 
dah you are real amazing do you want us to follow your lead that can never happen, we live as we wish this is the reason jf is 24 hours....and then find some good status whch will make us to focuss on women's development rather than be a unqualified teacher......you are forgiven...
 
dah u r real amaizing do u want us to follow ur lead tht can never happen we leave as we wish ths the reason jf z 24 hours....n thn find some good status whch wil make us 2 foccuss on womens devlpment rather thn be a unqulified teacher......u r forgiven...

Wewe ndo umeandika nini sasa hapa??? Hii miandiko ya kwenye simu zenu sisi wazee hatuelewi na hii mbaya sana
 
Mamababu, wengine wako nje ya Tanzania na wakati wewe umelala wao ndio wameamka. Wengine ni watu wa usiku. Wengine kama mimi ni 24/7 highly addicted with JF.
 
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.

Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??

Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.

Mtu akiwepo JF usiku kucha au mchana kutwa,wewe inakuhusu nini??kila mtu na ratiba zake bwana...
 
kazi ipo,kila mtu na hobby zake,mimi sioni tatizo mtu akiwa humu 24/7.wengine inasaidia kupunguza stress.na watu wako nchi tofauti na majukumu tofauti.hata kama wana waume zao,wao wenyewe wanajua kupanga mipangilio yao.kwani ni maisha yao wenyewe
 
Madada msimjali Mamababu. Anajisema mwenyewe. Anataka kupunguza kwa hiyo kwa kusema wenzake anhimiza kujibadili mwenyewe. Its Called REVERSE PSYCHOLOGY.
 
Una uhakika gani kwamba unaowaona wako Tanzania, achilia mbalia Afrika? Kumbuka katika hii dunia wakati sehemu nyingine ni usiku wakati huo huo kwingine ni mchana. Ndio maana ni vigumu kutabiri mwisho wa dunia kwa kutumia masaa. Siku ile walipotabiri mwisho wa dunia, ilipofika ile saa ya mwisho nikapiga simu Australia, jamaa yangu akasema hakuna kitu kama hicho naye yuko Bar anakata kilaji, nikafahamu unabii ulikuwa wa uwongo, nikaingia mtaani na kuendelea na ufenenge.
 
Back
Top Bottom