Mada moto: Unawezaje kudeal na mpenzi ambaye hakutafuti mpaka umtafute?

Kumpigia cm demu Mara Mara ni kujichoresha tu
Akikaa kmy we Fanya kama umempoteza kuna siku atarudi na adabu na atapiga yeye
Usimpogie hata ukipgiwa usiongee ukazid dk 5 ili asikusome sana
 
Jamaa bwege wa mapenzi.. ni teenager wa hiyo idara.. mwanaume sasa hivi kulia lia hutafutwi ni ushamba.. kama roho inamuuma akomae tu kupiga, kuna wanaeake usipo mjua utaumia.. wapo wasio penda kabisa simu.. mie nilikuwa nammoja wa hivyo.. hajali kabisa mambo ya simu.. wakati mwingine anaacha hata inazima wiki.. kama huyo ukiwnza waza utafutwi si utaumia bure. Tu..😀😀😀 kama mtu hakupigii mpigie kukata mzizi wa fitna
Baharia 2020 Julai miezi miwili na nusu kuelekea uchaguzi. :D :D :D :D :D :D

Umenifanya nimecheka sana muda huu...
 
Kumpigia cm demu Mara Mara ni kujichoresha tu
Akikaa kmy we Fanya kama umempoteza kuna siku atarudi na adabu na atapiga yeye
Usimpogie hata ukipgiwa usiongee ukazid dk 5 ili asikusome sana
Mie huyo nilijibiwa nafikiri kila mtu apumzike kwa miezi nane kwanza ..simu simu...simu za nini.Tena ilikuwa sms hizo.

Hahahahahaha Dear God ...niliapply ushauri kama ulivyotumwa.Toka 2017 mpaka leo...

Na nilivyomeza sauti hata ikipigwa namba ngeni...chaap simu inakatwa.
Maana nimempata anayejua kupiga simu na kupokea simu na familia bora kabisa.
 
Kuna nada inazungunzwa radioni mapenzi ya upande mmoja ambao unangaika na upande mwingine

Ambapo kuna wakati katika mahusiano wewe na mpenzi wako mnafikia kipindi hakutafuti mpaka umtafute wewe na hata usipomtafuta halalamiki.

Unaweza kupiga kimya siku tatu au mbili kumpima Kama atakutafuta unashanga yupo kimya

Hali Kama hii unawezaje kuhandle au kudeal nayoo ukiangalia hii Hali Kama inakuumiza
Ukiona hivyo ujue wewe ni mpenzi wa akiba kwake
 
Mimi huku ninae anapga kimya hadi wiki lakini nikiomba mzigo sizungushwi mpaka ananiacha njia panda
 
Mie huyo nilijibiwa nafikiri kila mtu apumzike kwa miezi nane kwanza ..simu simu...simu za nini.Tena ilikuwa sms hizo.

Hahahahahaha Dear God ...niliapply ushauri kama ulivyotumwa.Toka 2017 mpaka leo...

Na nilivyomeza sauti hata ikipigwa namba ngeni...chaap simu inakatwa.
Maana nimempata anayejua kupiga simu na kupokea simu na familia bora kabisa.
Dem anataka mwanaume kiongozi Yan jisimamie mfanye yeye akupgie akutafute sio kinyume chake ukifanya tofauti utahangaika na hawa viumbe
Mwanaume usililie mapenzi hata kama manzi utamwelewa vp huo utakuwa udhaifu jifanye kawaida na kuwa busy na mishe zako utakula mademu bila usumbufu wanakujaga wenyw
 
Inakera sana iyo tabia jaman, mapenzi ni two way traffic sasa inapokua upande mmoja ndo upo active zaidi inakatisha tamaa alafu kiuhalisia amna mapenzi apo! Mawasiliano ni kitu cha msingi sana katika mahusiano.
 
Hahahaha broo uko viZuli
 
Inakera sana iyo tabia jaman, mapenzi ni two way traffic sasa inapokua upande mmoja ndo upo active zaidi inakatisha tamaa alafu kiuhalisia amna mapenzi apo! Mawasiliano ni kitu cha msingi sana katika mahusiano.
Fikiria mbinu yakijeshi, ajiingize mkenge akija kushtuka aombe ushauri kwa wachungaji
 
Back
Top Bottom