Mada moto: Unawezaje kudeal na mpenzi ambaye hakutafuti mpaka umtafute?

kwani mapenzi ni nini mfano cc wanaume.tunaweza kuekiti kwa kukupigia kila cku na pesa tutakupa lkn wala hupendwi wengine tunajiwekea nichape mara kathaa kisha niingie mitin
Mimi nilijuaga baby kunipigia kila siku na kunipa pesa ndiyo ananipenda ivyo...lahaulaah!! Kumbe yaweza kuwa maigizo eeh... ahsante
 
Kuna nada inazungunzwa radioni mapenzi ya upande mmoja ambao unangaika na upande mwingine

Ambapo kuna wakati katika mahusiano wewe na mpenzi wako mnafikia kipindi hakutafuti mpaka umtafute wewe na hata usipomtafuta halalamiki.

Unaweza kupiga kimya siku tatu au mbili kumpima Kama atakutafuta unashanga yupo kimya

Hali Kama hii unawezaje kuhandle au kudeal nayoo ukiangalia hii Hali Kama inakuumiza
Vipi mzigo anatoa? , kama nikimwita analeta, fresh tu.
 
We hujapenda mangi! Ukipenda utaelewa anacholalamikia jamaa.
Jamaa bwege wa mapenzi.. ni teenager wa hiyo idara.. mwanaume sasa hivi kulia lia hutafutwi ni ushamba.. kama roho inamuuma akomae tu kupiga, kuna wanaeake usipo mjua utaumia.. wapo wasio penda kabisa simu.. mie nilikuwa nammoja wa hivyo.. hajali kabisa mambo ya simu.. wakati mwingine anaacha hata inazima wiki.. kama huyo ukiwnza waza utafutwi si utaumia bure. Tu..😀😀😀 kama mtu hakupigii mpigie kukata mzizi wa fitna
 
Hahahahah sasa inachosha huwezi piga tu mwenyewe deile. Lazma utamani kupigiwa halafu mtu simu hapigi! Inaboa sana.
 
Back
Top Bottom