OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,103
- 114,705
Katika usiku wa leo kipindi cha mada moto Channel 10,walialikwa Mh.Msigwa na H.Polepole walikuwa wageni waalikwa.Katika hali ya kushtua Humphrey Polepole amekula kona na Msigwa pekee ametokea.Hata hivyo kuna mgeni amechukua nafasi ya mgeni amekimbia.