Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Watu wanabaki kumtukana tu,ila ukwel wameupata. Hongera sana Mr polepole
 
Mtatizo kammaliza kabisa huyu chalii aliyekokamaaa kidhani ni pause.Polepole akikutana tena na Mtatizo bei yake kwa CCM itashuka kuliko marlaw.Mtatiro yupo fiti sana ukilinganisha na huyu Polepole..Km aliwaconvince CCM ,alikosea kudhani ataconvince umma.
 
Hivi channel 10 hawana wachambuzi wengine kila cku pole pole tuuu?? Eeh inachosha bhana tunataka mawazo mengine mapya
 
Assesment yangu....pole2 anasema wazee wa tume walisema pinda membe na lowassa wakatwe...siamini.kuhusu kuuza nyumba akachomekewa ya escrow akatoka nje ya mada...Mtatiro is good na yuko calm
 
Polepole amejidhalilisha anavyopamba tuhuma za wanaccm na kukandia tuhuma za Lowasa tu
 
aise mtatiro ni kiboko cha polepole..haka kajamaa kalikuwa kana kuja vizur ktk katiba ila kushabikia siasa ndio kanapotea kabisa..
 
Polepole amndandia Pinda..
polepole anashangaza sana km Pinda ndie aliwajibishwa ila hakuwajibika..hata alipohitajika..Lowasa alifanya hivyo..Na km hoja ya huyu dogo kwamba Msimamizi wao ndie anatakiwa kuwajibika kwanini anajifanya hajaona KWAMBA KTK RICHMOND RAIS NDIE ALITAKIWA WAJIBIKA KM ALIVYOSEMA LOWASA KWAMBA AMRI ILITOKA JUU?
 
Back
Top Bottom