Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Hivi huyo Polepole c aombe kazi ya uandishi wa habari tu Ch10 maana nnaona hana kazi coz kila siku yupo kwenye TV tu
 
Pole pole hajitambui.. Eti ccm makini hajui hata yaliyojiri dodoma, hajui mwenyekiti alienda na majina yake mfukoni

Lakin Umesikia Point Alizozitoa Kwann Hao Wakna Lowassa Walikatwa Hayo Majna Ya Mfukoni Ni Maneno Tu Hamna Ukwel Ndan Yake
 
anasema magudfuli hapaswi kuwajibika ila waziri mkuu wakati huohuo anasema membe naye si safi ingawa si waziri mkuu
 
natangaza rasmi tangu leo kuwa polepole hana hoja na uwezo wake kumbe ni mdogo leo kabanwa na mtatiro..polepole anajikanyaga juu ya kumsafisha magufuli..channel ten msimlete tena studio akili yake tumeisoma ni ndogo mno anamapenz binafsi juu ya magufuli anataka kushawishi mawazo yake!!
 
Huyu polepole ni chizi sana.

Eti anadai waziri akifanya kosa lolote lile asishutumiwe bali waziri mkuu ndio anapaswa kubeba mizigo ya mawaziri wadogo?

Nimefurahi sana mtangazaji alipomwuuliza vp waziri Muhongo kuwajibishwa na hapo hapo waziri mkuu kubaki salama.

Tehe tehe tehe teheeee!!!!

Kweli ccm wamekuwa vipofu.
 
Polepole hana jipya kabisa Leo
Unatenganisha vipi mfumo na chama tawala!
Unamtoaje waziri husika kwenye tuhuma na kumuwajibisha waziri Mkuu peke yake!
 
Polepole Pole pole unawapa kizunguzungu watu? Serikali tulindieni huyu kijana mafisadi watamfisadi
 
Back
Top Bottom