Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Polepole hajitambui hata mtangazaji anamcheka,naona hata fanya makosa kumuita tena kwenye kipindi mtu biased kama huyu
 
Mtatiro anasemaje??
Tena kakumbushia ule msemo wa Nyerere kuhusu Mke wa Kaisari.

"Mtu akishatuhumiwa hapaswi kuongoza dola"

Sijamuelewa vizuri hapa.
 
Lakin Umesikia Point Alizozitoa Kwann Hao Wakna Lowassa Walikatwa Hayo Majna Ya Mfukoni Ni Maneno Tu Hamna Ukwel Ndan Yake

Naangalia mpira mkuu sina muda wa kumsikiliza huyo mchumia tumbo... Najitambua sihitaji kusikiliza wachumia tumbo
 
Polepole kaisha kabisa....mtatilo yupo fiti kuliko huyu kilaza.
 
Wapo vizuri wote ila tatizo humu kuna ushabiki wa vyama. Mnahukumu bila kuangalia hoja.
 
"Kama ccm wasingekuwa makini nchi ingenunuliwa mapema tu"Humphrey Polepili..

Kuna polepole mwingine zaidi ya yule aliyekatwa ktk kura za maoni na CDM?.
Shame on him,na bora kakatwa coz NADHANI NI KATI YA WALE MAMLUKI WA Lumumba.
SIMBILISI wewe!.
 
Polepole anajipendekeza kwa magufuli anataka nafasi ya kuteuliwa.
 
Naangalia mpira mkuu sina muda wa kumsikiliza huyo mchumia tumbo... Najitambua sihitaji kusikiliza wachumia tumbo

wafuata upepo hamtaki kuambiwa ukwel ndomana mnajifanya mnakimbilia kisingzio cha mpira...
 
HII AMEIANDIKA JAMES MSONGE AKIMJIBU AKIMJIBU POLEPOLE!

Yes indeed! "KIJANA" kwa umri wako mdogo unatakiwa kutulia na kukubali kujifunza baadhi ya mambo ambayo huyafahamu wala huyajui!. "WATANZANIA" wengi tulikuona una uelewa mpana na uzalendo kwa nchi yetu ya "TANZANIA", lakini kwa sasa tunaanza kukutilia mashaka kuhusu "GENERAL KNOWLEDGE" yako na tupo tunaoanza sasa kuamini kuwa huenda ni kwa sababu ulishirikishwa kwenye "MCHAKATO MZIMA" kuanzia uundwaji, uandishi, ukusanyaji maoni, uratibu na uwasilishaji wa "RASIMU MBILI ZA ILIYOKUWA NI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA" ndiyo maana ukaweza kuwa unaielezea "RASIMU YA PILI YA KATIBA YA ILIYOKUWA NI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA" kwa kina kwani hata Mtanzania yeyote mwenye uelewa mdogo was kupambanua mambo kama naye angepewa nafasi uliyopewa huenda naye angeielezea kwa ufasaha pengine kuliko hata wewe!.

Acha kumshambulia mtu binafsi kwani kama ni kwenye "NDONDI", basi "MHESHIMIWA" unayemshambulia ni wa uzito wa "HEAVY WEIGHT - WBO", wakati wewe ni wa uzito wa "BANTAM"!!. Wapi na wapi?!.

Hakika, unajidanganya kwani humuwezi kwani "UTASHINDANA LAKINI HUTASHINDA"!. Mwisho, Kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba nimalizie kwa kukuambia kuwa "HATA MJINGA AKIKAA KIMYA HUONEKANA ANA BUSARA". "MUNGU IBARIKI TANZANIA".
 
Back
Top Bottom