Nimeambiwa Mtatiro anasoma PhD ila kama ndo hivi basi ni tatizo ..hajuhi kutofautisha mfumo na chama?
Polepole amepotea njia anaendekeza chuki binafsi hana point. Mtatiro amemkalia kooni hachomoki.
Pole pole hajitambui.. Eti ccm makini hajui hata yaliyojiri dodoma, hajui mwenyekiti alienda na majina yake mfukoni
Nilivyokuta kuna huyo pole pole nikabadili chanel sasa naangalia westham dhidi ya man u