Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

mpole Leo umechemsha inabidi ukubali
kuongea sana sio kujua sana na kuhalalisha Yale unayoyahamini yawe kweli.
 
Mtatiro anajitahidi sana ila huyu polepole ni saizi ya lissu,slaa na zitto tu upinzani.Wengine anawaonea.Angalia mtatiro anavyojitahidi ila ni kama anafundishwa
 
hivi polepole huyu ndio yule wa katiba tuliyekuwa tunamsifia???? kumbe sisi wapinzani tunamsifia mtu akiwa upande wetu tu akisema ukweli kuhusu sisi anakuwa adui km sasa.... watanzania hawapend kuambiwa ukweli, pole mh polepole
 
Hapana mm binafsi nimemuelewa sana polepole na kweli tunataka mageuzi na sio mabadiliko...mtatiro kafunikwa
 
Polepole amepotea njia anaendekeza chuki binafsi hana point. Mtatiro amemkalia kooni hachomoki.
 
Tatizo la polepole ni siyo chama bali ni utiifu wake kwa ccm.Hajui kuwa magufuli kawekwa?!
 
humphrey Pole pole ni muongo na muoga, anajibu kwa uongo na kutojiamini, ni aibu Taifa kuwa na Vijana wa style hii

acha uongo na uwe au ndo mnafundishwa na viongoz wa ukawa? hivi kat ya mtatro na pole pole nan hajiamin?
 
Last edited by a moderator:
Mbona hiyo line ipo bz tu, nimejaribu kupiga siipati lakini naona kina Mwalimu kaijage wanaipata au ndio mamabo ya Rushwa nini?
 
Tatizo la Mtatiro anaiogopa Mic, Pole Pole anatumia muda mwingi kujitetea.
 
Polepole sio Mwanasiasa ila ana chama anachokiamini Misingi yake.
Kuwa CCM kwake hakumaanishi ndio akubali tu kila kinachofanywa na CCM, Pale ilikua Tanzania Kwanza sio Chama Kwanza.
Hata Jaji Warioba ni M CCM

Tumieni akili, huyo Lowasa aliipigia kura gani Katiba? Akiwa Rais ataweza kuisimamia Katiba ya Wananchi?
Polepole na Mtatiro wote wana point za msingi kama hatutaweka vyama kwanza.
 
Pole pole hajitambui.. Eti ccm makini hajui hata yaliyojiri dodoma, hajui mwenyekiti alienda na majina yake mfukoni
 
mageuzi yana anza na mabadiliko, nasio kama polex2 anavyo fananisha na kwenye sayansi.
 
Mtatiro anajitahidi sana ila huyu polepole ni saizi ya lissu,slaa na zitto tu upinzani.Wengine anawaonea.Angalia mtatiro anavyojitahidi ila ni kama anafundishwa

Nimeambiwa Mtatiro anasoma PhD ila kama ndo hivi basi ni tatizo ..hajuhi kutofautisha mfumo na chama?
 
Tatizo la polepole ni siyo chama bali ni utiifu wake kwa ccm.Hajui kuwa magufuli kawekwa?!

Magufuli Kawekwa Na Kundi Lip?Lowassa Tx Obvious Knwn Amewekwa Na Wenzake Mafisadi Kwa Maslahi Yao Binafsi...
 
Nilivyokuta kuna huyo pole pole nikabadili chanel sasa naangalia westham dhidi ya man u
 
Back
Top Bottom