Mechi mbovu kabisa hii, majimaji (polepole) vs Arsenal (mtatiro)
Hahaha yaani ninamtetea polepole ila hapa umenivunja mbavu polepole yaani majmaji kweli suburi usiku wa leo
Mechi mbovu kabisa hii, majimaji (polepole) vs Arsenal (mtatiro)
Ok mimi nitakuwa na mtanange na mke wako wakati wewe ukiangalia tvPolepole twende taratibu unawaumiza vijana.njtakuwepo hiyo saa nne kushuhudia mtanange.
Na bado, umaskini wako ni wako mwenyewe na kama ni kosa linaanzia kwenye ukoo wenu ..Ikulu haiuzwi
Na bado, umaskini wako ni wako mwenyewe na kama ni kosa linaanzia kwenye ukoo wenu ..Ikulu haiuzwi
Jua basi msigwa alimshindwa huyo. Na mtatiro atafeli tu. Hapo labda aje Fundi TUNDU LISU
Pole anatafutwa sana kwenye ishuzi za mijadala.Ni kıjana anayeweza simama popote dunianı akajenga hoja ya kueleweka.Wenye akili wote wanapenda kumsıkiliza.
Mnatamani sana kila mtu awe Ukawa lakini ndo hivyo tena hatuko Ukiwa na kazi yetu ni moja tu ..tunailinda Ikulu dhidi ya majangiri
Poa watanzania tulipofikia no turning back .......jiwe la chumvi....na hatupendi mawe ya chumvi ila samahani hivi kuna mgao wa umeme au.
Hahaha yaani ninamtetea polepole ila hapa umenivunja mbavu polepole yaani majmaji kweli suburi usiku wa leo
Toka walichezea leo upepo umevuma kwao nyeti za kuku tutaziona leo. Kwa Mtatiro bora Pole pole aikimbie stidio kwani kwa Julius Mtatiro ninae mwelewa mimi ccm hayupo wa kusimama nae. Na bei ya Polepole itafahamika kabla ya uchaguzi. Ukawa wapo majembe ya uhakika.Hata mwendesha kipindi toka kipindi cha kwanza hakumwamini kabisa Polepole kuwa alikuwa anaeleza yale anayoyaamini au anaeleza aliyotumwa.