izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
hakuna kada yeyote wa ccm ambae anaamini kuwa bila ya kujipendekeza anaweza kufanikiwa ndo maana 2namwona magufuli alivyokuwa anajipendekeza na kumsifia mwenyekt mpaka mwenyekt anaona aibu kwa misifa anayopewa same to makada wote wa ccm incd polepole huyu anaamini kuwa kumponda lowassa anaweza akapata cheo kama walivyo pata NAPE na MAKONDA hata lowassa mwenyewe aliwah kusema wanaomtukana wanapewa vyeo tena vkubwa bt polepole ameshindwa kucheza na number amesahau ccm mwisho ni oct 25 kuanzia oct 30 2takuwa na utawala wngne fanya 2 uchunguz mtu anayejipendekeza kwa maboss hata kazn ukimchunguza utakuta elimu yake kunauwezekano ikawa ya magumashi au kaz ile kapata kwa mtindo wa viti maalum