Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mkuu ungesoma kwanza ulichoandika kabla ya kupost. Mbona umekichafua chama chako hivyo? Unasema Lowassa angebaki CCM wangembebabeba na kumfichia maovu? Seriously!!?

Tumemtupa pembeni hatufai urais wa inchi hii sbb ya ufisadi ss tutampaje inchi ila kwa sbb amewanunua ukawa tunataka tumuabishe muda c mrefu kupitia huko ukawa kwamba tulimkata sbb ni ufisadi angekuwa msafi mbona dr slaa na lipumba wameona aibu wakakimbia huko
 
kama hujui na yeye yumo kwenye black list ya donor
 
Dah Tanzania akili zetu zikoje?hivi msigwa alimshinda polepole ??msigwa ni average politician anayehitaji akili ndogo sana kumzidi ila kwasababu ya ushabiki utasema ameshinda
 
Tatizo lake anasaka fursa alianza vyema lakini sasa kawa mtu kigeugeu ni mtetezi mzuri wa jamii yetu lakini anasahau hata Magufuli ana walakini katika uadilifu wake. Muhimu Polepole kama hauna chama jaribu kutenda haki kwa pande zote ili ueleweke sawa kijana jiangalie upya.
 
Tumemtupa pembeni hatufai urais wa inchi hii sbb ya ufisadi ss tutampaje inchi ila kwa sbb amewanunua ukawa tunataka tumuabishe muda c mrefu kupitia huko ukawa kwamba tulimkata sbb ni ufisadi angekuwa msafi mbona dr slaa na lipumba wameona aibu wakakimbia huko

Umeshindwa kunielewa. Wewe umesema Lowasa angebaki CCM angebebwa na kufichiwa maovu. Ni kweli ndiyo tabia ya chama chako kubeba watu na kuficha maovu yao? Jibu swali usilete porojo.
 
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.

hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.

Anyway, no drug, not even alcohol, causes the fundamental ills of society. If we're looking for the source of our troubles, we shouldn't test people for drugs, we should test them for stupidity, ignorance, greed and love of power.

P. J. O'Rourke
 
Polepole mwenyewe ni mwizi, muulizeni laki sita alizoiba alizifanyia nini?
 
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.

hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.

Ila mbowe na lisu n vigeu geu kwa kumpa uongoz wa juu fisad papa lowasa
 
Polepole amejipotezea heshima katika jamii, kwa kujifanya baba wa katiba. Anatumiwa na CCM eti ndio njia iliyobaki kumpotezea credit Liwasa. Pesa ni hadui wa maendeleo kwa Polepole.
 
Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na polepole don't miss saa 4 kamili usiku.

Tuone Polepole anavyoangukia pua kwa mara ya pili baada ya Msigwa kumpiga knock out.

Angalau kwa MTATIRO. Mchungaji Msigwa alionewa sana. It was too sad
 
Anataka aitwe kuwa unataka cheo gani kama sio shilingi ngapi. Hafai,nilkuwa namuona mzalendo kumbe mchumia tumbo kama akina Nape ,Paul Makonda,Zitto kabwe,Hamad Rashid,Arf said,Shibuda nk
 
Pole pole sijui amekuwaje siku hizi, mbona amekuwa sio yule aliyekuwa kwenye tume ya mzee Warioba? Au hekima za mzee Warioba zilimfunika tusijue tabia yake? Hivi ni kweli Lowassa ni mchafu kushinda watu walioko ndani ya ccm kweli? Kama kweli Lowassa anatoa rushwa, mbona hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa zaidi ya maneno ya wana ccm? Mbona ccm mpaka mawaziri wameitwa takukuru kuhojiwa kwa ajili ya rushwa?
 
Polepole wamalize wa kaskazini hao wasijifanye wanaweka kumshika maskio kila mtu.
 
Watu mnapenda lawama kinyama sijui mnataka mpaka mpigiwe simu jamaa kaandika kabisa saa nne kamili watu mnapiga kelele amekurupuka sijui hujishtukii kama ww ndo mkurupukaji husomi mabandiko vizuri #watoalawamawote
 
Pole pole ni mccm ataamia wapi gamba yule mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom