Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Hiki kipindi cha channel ten ni maalum kwa polepole? Iitwe 'polepole time'. Mpeni makavu live,ashike adabu huyu dogo polepole,aone tv kituo cha polisi.
 
Ktk ukawa hakuna mzalendo anae fanana na polepole.
Ukawa wote ni watu wamaslahi binafsi na matumbo yao.
Pole pole ni mzalendo hasiti kutetea watz kwa faida ya wtz na nchi kwa ujumla bila kuegemea chama ingawa yeye ni mwanachama wa ccm
 
Usikimbie saa 4 humu polepole c mtu wa kawaida anamchambua lowasa kama mchele. Mtajuta kwann aliwanunua cdm

Kukimbia sikimbii hata kipindi cha rafiki yangu Masako Itv nitakipiga mgongo leo. Ila endeleeni kumsifia Polepole ajisahau aje aropoke Lowassa ni fisadi kuanzia tarehe 01/09/'15 kama hajaizoea mahakama.
 
Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na polepole don't miss saa 4 kamili usiku.

Tuone Polepole anavyoangukia pua kwa mara ya pili baada ya Msigwa kumpiga knock out.

Hivi kumbe msigwa alishinda😳😳😳😳 mi niliona msigwa kachemka bora wampeleke tundu lissu anayejielewa
 
Ni undisputed fact kuwa hakuna mwanasiasa hapa Tanzania anayeweza kudebate na Polepole. Huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali, ana facts na hayumbi wala kulegea katika anachokiamini na anakielezea kiufasaha zaidi hadi basi.
 
Kukimbia sikimbii hata kipindi cha rafiki yangu Masako Itv nitakipiga mgongo leo. Ila endeleeni kumsifia Polepole ajisahau aje aropoke Lowassa ni fisadi kuanzia tarehe 01/09/'15 kama hajaizoea mahakama.

Yaani mwaka huu mzee El ndo mwisho wa safari yake kisiasa kakimbilia upande co nilitegemea angebaki ccm wangembebabeba na kumfichia maovu but now amepotea kisiasa na baada ya matokeo yatakayoiweka ccm madarakani tena ukawa ndo itafika mwisho wa uhai wake chadema ndo hali mbaya zaid ya mgonjwa mahutiuti,wakati huo ccm inapanga mipango ya 2020 ya kuingia madarakan kwa style nyingine tena:ccm ilisema inambinu zaidi 100 sasa cjui mmeshazitambua ngapi
 
pole2 hana hoja tena....kwasababu kila mtu anajua ataongea kuhusu lowasa...sio deal tena atafute kazi nyingine

...lakini si alianza tokea lowassa akiwa hajaamia chadema na tukishangilia? sasa leo awe mnafiki kwa sababu kahamia chadema au kwa sababu katoka ccm?
 
Yan watu hawaelewi, hata useme nini kwa watz kuhusu Lowasa hawaelewi tena! bora wakauze mahindi kuliko kurudia wimbo ule ule kila cku wa fisadi. Fisadi ndo mdudu gani? tunataka mabadiliko na anayeweza kuyaleta ni Lowasa. Kwa hiyo hata angekua fisadi kufuru wa kufuru bado tunamtaka!! muelewe hivyo
 
Kwani huyo pole pole naye kawa mtangazaji wa Chanel10, au hana shughuli za kufanya maana naona kila nikisikia mada moto namkuta ni yeye tu, hadi wakati mwingine yuko peke yake.
Na nyie chanel 10 si mtafute watu wengine au ndo nanyie mnajifia?
 
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.

hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.
 
Ni undisputed fact kuwa hakuna mwanasiasa hapa Tanzania anayeweza kudebate na Polepole. Huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali, ana facts na hayumbi wala kulegea katika anachokiamini na anakielezea kiufasaha zaidi hadi basi.

...very true..lakini ni kwa wenye fikra huru, na wenye kuutumia uhuru wao kufikiri...wa nje ya hapo bahati mbaya...na bahati mbaya zaidi wengi ni vijana pia..!
 
Yaani mwaka huu mzee El ndo mwisho wa safari yake kisiasa kakimbilia upande co nilitegemea angebaki ccm wangembebabeba na kumfichia maovu but now amepotea kisiasa na baada ya matokeo yatakayoiweka ccm madarakani tena ukawa ndo itafika mwisho wa uhai wake chadema ndo hali mbaya zaid ya mgonjwa mahutiuti,wakati huo ccm inapanga mipango ya 2020 ya kuingia madarakan kwa style nyingine tena:ccm ilisema inambinu zaidi 100 sasa cjui mmeshazitambua ngapi

Mkuu ungesoma kwanza ulichoandika kabla ya kupost. Mbona umekichafua chama chako hivyo? Unasema Lowassa angebaki CCM wangembebabeba na kumfichia maovu? Seriously!!?
 
pole2 hana hoja tena....kwasababu kila mtu anajua ataongea kuhusu lowasa...sio deal tena atafute kazi nyingine

Kwani kumjadili Lowasa kuna shida gani wakati ni mgombea Urais? Ni vizuri ajadiliwe sana ili tumjue vizuri au unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
CCM hata hawana habari kama Polepole yupo,pia kadi yake haina umuhimu,kipindi hiki wamepoteza watu muhimu kuliko Polepole
 
Yan atapoteza hata kile alichokijenga ndani ya kamati ya warioba kama ataendelea kurudia lowasa ni fisadi. Tunajua tangu 2008 kwa hiyo kwetu siyo habari tena! bali ni uzushi tu, haina mashiko kwetu,
 
Back
Top Bottom