Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na polepole don't miss saa 4 kamili usiku.

Tuone Polepole anavyoangukia pua kwa mara ya pili baada ya Msigwa kumpiga knock out.

Ngoja tumuone polepole akiwapa za uso Ukawa na mafisadi wao
 
Ni vijana wachache wanaoweza kusimamia wanachokiamini kama Polepole. hata kama ni AGAINST MILIONI pple. Wengi hupenda kufurahisha Mass.
Hata Mtatiro atachemka tu. Huwezi kutetea ugombea wa lowasa chadema bila kuweka uongo na unafiki mwingi. Kama ulimwona Prof Safari na Kitila utaelewa namaanisha kitu gani.
 
Muda si mrefu nimepokea simu ya mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha CHANNEL TEN kwamba naalikwa kwenye mjadala wa masuala ya nchi ambao pia utahudhuriwa na ndugu Humphrey Polepole leo Ijumaa saa 4.00 usiku LIVE

kama wewe ndie Mtatiro pls stick kwenye hoja itakayokuwa mezani!...usilazimishe kumuongelea Magufuli wakati mada ni ya Lowassa,kama Mh Mch Msigwa!
Kila la heri!
 
Rahim hoja maana yake nini? Mbona wewe hapo huna hoja nawe wabwabwaja tu?. Siku ya kipindi cha Polepole na Msigwa, kama ulikiangalia Msigwa alipata taabu mno. Akaleta maneno ya uwongo ya kumsingizia Polepole lakini hakufua dafu ilikuwa mbaya sana. Ila lazima tuwe objective tunapoamua kuchallenge kitu chochote. Polepole ana haki ya kuzungumza chochote hata kama wewe hakikupendezi. Hivyo kiustaarabu kabisa tupinge hoja kwa hoja sio hoja na vioja visivyokuwa na mashiko tunajiaibisha jamani. Labda tumsikilize Julius leo lakini Msigwa alileta hoja za vijiwe vya kahawa mmmmmm hatariii

very very true!
 
Kwa hoj Msigwa alipwaya sana tuache ushabiki wa vyama. Kama kawaida yake akaanza kumuatack dogo kwa vishutuma vya kipuuzi visivyo na uhakika. dogo alikua anamtolea mifano msigwa anajibu mifano badala ya hoja. Ngoja tumuone leo Mtatiro Msigwa sio saizi kabisa ya pole pole alipwaya sana

Hamuangaliagi midahalo ya kimataifa nini?alichokifanya Msigwa si kumshambulia Polepole binafsi ila alikuwa anamfichua kwa Watanzania wamjue Polepole halisi na si huyu Polepole fake aliyekuwa anajaribu kutuaminisha ndiye,kwamba yeye mwenyewe ana mapungufu ya kimaadili halafu anataka kujigeuza yeye Jaji wa kuwahukumu wengine,Pili yeye ni Mwana CCM anayejaribu kujificha kwenye kichaka cha UKAWA ili kumshambulia mgombea wa UKAWA kwa maslahi ya chama chake cha CCM.
 
Nahisi Polepole kuna kamchezo ametumwa ka kudodosa kuhusu UKAWA,Mi ombi langu viongozi wote wa juu wa UKAWA wala wasijitokeze kuongea na kikada hiki,Kwanza sio size yao.Badala yake kama anaweza azunguke na ccm yake kipindi cha kampeni tuje kumjibu wenyewe huku vijijini aipate fresh!
 
Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na polepole don't miss saa 4 kamili usiku.

Tuone Polepole anavyoangukia pua kwa mara ya pili baada ya Msigwa kumpiga knock out.

Kama msigwa alifit Leo msingemleta mtatiro, mnamleta mtatiro kwa sababu mnataka kufidia yule msigwa kupigwa k.o, alikuwa Hata hajui anatetea nini msigwa, ameingia kwenye kipindi kakaririshwa mambo mwisho kabaki anasahau nini kazungumza,
 
Hii ina maana kuwa kipindi hili ni mali ya Polepole na ndio anachagua watu wa kulumbana naye kwani hakuna mwingine zaidi ya polepole ambaye anaweza kulumbana,??Kama kipindi hiki sio mali ya polepole naomba channel ten badilisheni!!! Polepole tumemchoka
 
Poa watanzania tulipofikia no turning back .......jiwe la chumvi....na hatupendi mawe ya chumvi ila samahani hivi kuna mgao wa umeme au.
 
Huyu si mwanasiasa anachotaka nikupata umaarufu tu,Potea potea umeshaambiwa katka orodha ya mafisadi kikwete yumo mbona humzungumzi wakati yeye ndio anatawala nchi hivi sasa? Huna jipya.

Orodha ya shame ama hipi? kama yumo ni namba ngapi make moja kaikalia Mzee mwenyewe mamvi ..Polepole na RAIA mwema hayanunuliki na mtaendelea kuvuliwa nguo mpaka mshike adabu zenu
 
Poa watanzania tulipofikia no turning back .......jiwe la chumvi....na hatupendi mawe ya chumvi ila samahani hivi kuna mgao wa umeme au.

Na bado, umaskini wako ni wako mwenyewe na kama ni kosa linaanzia kwenye ukoo wenu ..Ikulu haiuzwi
 
Back
Top Bottom