Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mkuu mbona jamaa kasema saa 4 usiku?????, Watanzania tuwe tunasoma Post ya mtu mwanzo hadi mwisho sio kufanya skimming afu unakimbilia kupost
 
Kwa hoj Msigwa alipwaya sana tuache ushabiki wa vyama. Kama kawaida yake akaanza kumuatack dogo kwa vishutuma vya kipuuzi visivyo na uhakika. dogo alikua anamtolea mifano msigwa anajibu mifano badala ya hoja. Ngoja tumuone leo Mtatiro Msigwa sio saizi kabisa ya pole pole alipwaya sana
 
Mtatilo Nakuamini Sana Huyo Talatibu Anahoja Nyepesinyepesi Sana Na Nimeona Moja Uliyotupia Kule Fb Bila Shaka Itamtoa Jasho, Usisahau Kumuliza Swali Lile Ulilouliza, Ccm Wamesimamisha Watuhumiwa Ukawa Tumesimamisha Mtuhumiwa Je? Yuko Tayali Kuzunguka Kuwanadi Watuhumiwa Huku Akimponda Mtuhumiwa? Kama Kote Hayuko Tayali Je? Anataka Tusifanye Uchaguzi? Na Tusipofanya Si Tunaluhusu Watuhumiwa Waendelee Kutawala? Au Anataka Tumchague Hashim Lungwe? Maana Huyo Ndie Sijasikia Akituhumiwa
 
Sababu CCM hawana mengine wote ni mavuvuzela tu. Ndo maana wameamua kukikamua haka kazee mpaka katoke damu! Si Kanataka hela?!

Ss nakuahidi leo hii uwepo ktk kioo uone polepole anavyomuumbua mtu pale usikose mm najua jamaa anawaweza hata mkimpeleka tundu lisu atanyooka kwa jamaa jamaa anawaweza msigwa cku ile chali mpaka wenyewe mliomba angepelekwa tundu lisu
 
Bavicha wakisikia au kuona Polepole nanii inagonga naniii....

Polepole ni mtu makini sana hana mchezo na ndio maana Msigwa alichemka na sasa eti wamemleta Mtatiro naye atapigwa nockout hadi ataletwa Mbowe. Mtu wa kupambana na Polepole ni Dr Slaa ambaye ameishajivua uanachama kimyakimya kwa usanaa wenu.
 
kwa mara nyingine polepole baada ya kumpiga tatu bila Msigwa sasa atakuwa uwanjani na mtatiro, duh ila game la leo ni noma sijui km mtatiro atapona kweli, lkn nimegunduwa watu wa jf wengi wanashabikia kwa hisia mkumbuke game lililopita msigwa aligaragazwa vibaya sana mpaka akaanza kumsema polepole mambo yake ya personal,badala ya kusimamia mada iliyokuwa wanaijadili, kiukweli game la leo tamuuu,
jamaaa wote nawakubali Mtatiro pamoja na Polepole,
jambo la msingi tupime hoja tuache ushabiki wa vyama.:mod:

Well said comrade
 
Wabongo tuna akili za kijinga sana... Kitendo cha PolePole kubadilishiwa opponent, kinaonyesha jinsi gani msigwa alishindwa kujibu hoja za msingi na kuishia kutuhumu as usual lakini linakuja jitu humu linasema PolePole alizingua au anatafuta Umarufu...

Nadhani ni vyema tuzijibu hoja za Pole square, Kama mtatiro atamshindwa basi aletewe hata mbowe, Maswali yake ya Msingi mmeshindwa kuyajibu , kila mtu ashabikie anachokipenda ila ushabiki kwenye masuala ya kitaifa ni jambo lenye hasara kubwa.
 
Kwa hoj Msigwa alipwaya sana tuache ushabiki wa vyama. Kama kawaida yake akaanza kumuatack dogo kwa vishutuma vya kipuuzi visivyo na uhakika. dogo alikua anamtolea mifano msigwa anajibu mifano badala ya hoja. Ngoja tumuone leo Mtatiro Msigwa sio saizi kabisa ya pole pole alipwaya sana

Ukiwa mchafu usirushe mawe
 
Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na polepole don't miss saa 4 kamili usiku.

Tuone Polepole anavyoangukia pua kwa mara ya pili baada ya Msigwa kumpiga knock out.
Sikubalini na hoja za Polepole ila Msigwa alikua na hoja dhaifu wakati anamjibu Polepole, ikawa ni personal attack
 
Huyu si mwanasiasa anachotaka nikupata umaarufu tu,Potea potea umeshaambiwa katka orodha ya mafisadi kikwete yumo mbona humzungumzi wakati yeye ndio anatawala nchi hivi sasa? Huna jipya.
 
Jina lenyewe POLEPOLE ila uelewa wake na akili ya huyu jamaa anaijua mwenyewe.Hana hoja ana bwa bwa ja tu,sijui amekula maharage ya wap huyu....

Rahim hoja maana yake nini? Mbona wewe hapo huna hoja nawe wabwabwaja tu?. Siku ya kipindi cha Polepole na Msigwa, kama ulikiangalia Msigwa alipata taabu mno. Akaleta maneno ya uwongo ya kumsingizia Polepole lakini hakufua dafu ilikuwa mbaya sana. Ila lazima tuwe objective tunapoamua kuchallenge kitu chochote. Polepole ana haki ya kuzungumza chochote hata kama wewe hakikupendezi. Hivyo kiustaarabu kabisa tupinge hoja kwa hoja sio hoja na vioja visivyokuwa na mashiko tunajiaibisha jamani. Labda tumsikilize Julius leo lakini Msigwa alileta hoja za vijiwe vya kahawa mmmmmm hatariii
 
Back
Top Bottom