Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

pole pole ni mnafki na njaa zinamsumbua ameshanunuliwa na watawala amesahau alichokua anasimamia, kuna mwingine huko tweeter anaitwa chahali anaishi mafichoni ughaibuni kwa hofu ya ccm, ila siku hizi anatumia nguvu kubwa kuitetea akiamini watamuhurumia aweze kurudi bongo.
Kama mbowe alivyonunuliwa na lowasa
 
Huyu kijana anajifanya anajua kila kitu ninaamini atakuja kupotea kama akina Zitto na Jerry Muro...time will tell....
 
pole pole ni mnafki na njaa zinamsumbua ameshanunuliwa na watawala amesahau alichokua anasimamia, kuna mwingine huko tweeter anaitwa chahali anaishi mafichoni ughaibuni kwa hofu ya ccm, ila siku hizi anatumia nguvu kubwa kuitetea akiamini watamuhurumia aweze kurudi bongo.

ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk.

Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ja watoto!!!!

Wanafiki wa kwanza ni nyie mnaotaka kuona chama fulani kikisemwa mabaya yake tu, lakini nyie hamtaki kusemwa ya kwenu. Polepole hana urafiki na mtu, ukisosea anakuponda bila kujali upo chama gani.
 
Mwenyewe yupo na ana nguvu ya kutosha kujitetea. . . . .Alishasema mahakama zipo kama wewe mtoa mada unaona kuna jambo haliko sawa nenda mahakamani au yeye kama ataona kuna jambo haliko sawa atampeleka Polepole huko. . . . . .!!!!!

Nchi haiendelei sababu mko busy na maisha ya watu kuliko kazi zenu za kujenga Taifa. . . . .kama anasakamwa yeye atachukua hatua stahiki. Period
 
ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk.

Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ja watoto!!!!​
Kama Rizone Ni Billionnare Kwa Mjibu wa Post Yako,Then Kumbe Ndio Maana CCM Wanapambana Kufa/Kupona Rais Mtarajiwa Eddo Lowassa asiingie Ikuu.

Ila Mh. Lowassa Amesema Yeye Ni Mcha Mungu Haamini Ktk Kulipiza Visasi; Lakini Ni Vema Akiingia Zile Siku 100 Za Mwanzo Atikise Kibiriti Japo Kidogo.
 
Amepewa pesa za media kuing'arisha ccm wakati juzi alipokataliwa na ccm hiyo hiyo kuhusu na katiba leo amekaa bila haya kuinanga UKAWA kweli njaa haina Bouncer!

Haka kasifa kama na mbowe anako aisee! Chamelionic change
 
Ni ufisadi wa Lowasa ndio unaomtesa na kumkwaza Polepole
 
muhindo

Msumari unatokea ulikoingilia na hii ni principal ..kama ufisadi uliletwa na CCM basi ni CCM hao hao wenye kuweza kuitoa rushwa
 
Last edited by a moderator:
Napenda kumsikiliza Polepole akidadavua mada na hoja zinazokuwa mbele yake lakini mara nyingi zinakuwa za marekebisho ya katika.Hivi majuzi nimeendelea kuwa mshabiki wake lkn amejikita ktk maswala ya uchaguzi ndipo nilipogundua kilichokuwa kinamsaidia alizungukwa na wazee wengi wenye maarifa na uzoefu na kwa kuwa anauwezo wa kukariri ameweza kutuhadaa kuwa ana ufahamu.

Polepole nilichogundua hajui historia ya nchi nafikiri pia kwakuwa anatumwa pia anaandaliwa cha kuongea kwa faida ya waliomtuma.Mfano jana amesema kuwa Dr. Slaa kafungiwa najaribu kumkumbusha historia ya nchi anakumbuka habari za kina Kambona,Nzilo Swai,Abud Jembe na wengine?

Lakini kubwa zaidi anajua habari za undani za kolimba,Amran Kombe,Kigoma Malima,Balali,Mgimwa na wengine wengi.Lakini katika mchakato wa katiba anaweza kutueleza vzr kilichomkuta Dr Mvungi maana yeye ndiye aliyekuwa na agenda na hoja za msingi za mageuzi ya ukweli ya TZ.

Tafadhali Polepole jaribu kuongea vitu ukiwa na utafiti ili uwe na kumbukumbu nyingi ambazo zinaweza kukusaidia kufanya maamuzi kwa wakati vinginevyo unajiaibisha mbele za watu na heshima yako uliyoijenga kwa muda mrefu inashuka kwa muda mfupi huo ndio ushauri wangu kwako kwa nia nzuri tu.
 
Mimi ni mtu wa kujifunza, hoja zako nawaachia wengine wazitolee ufafanuzi na ni kwa sababu mengine uliyoyaeleza ndiyo aliyotatolea ufafanuzi Polepole kupangua hoja za Mtatiro.

Labda niulize na nijifunze toka kwako kitu kimoja tu. Iwapo Waziri Mkuu aliweza kusimamia ujenzi wa Shule za kata uliokuwa ukifanywa na wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi, Ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma uliokuwa ukifanywa na Wizara ya Elimu ya Juu ikishirikiana na wizara ya Ujenzi, Kwa nini hakusimamia uuzwaji wa nyumba za Umma?

Kuuzwa kwa nyumba za serikali yalikuwa ni maagizo ya nani, waziri, baraza la mawaziri au bunge? inawezekana waziri akaamka asubuhi na kuanza kufanya analolitaka bila kuulizwa.

Hata pinda hakua na uwezo kwa akina ngeleja. Na alikiri hilo bungeni.
Uwaziri mkuu kwa nchi kama yetu ni cheo cha kufutwa. Sambamba na ilivyo wakuu wa mikoa, wilaya.
 
Yako mambo yananishangaza kwa Polepole

1) Anasema lowassa aliikataa rasimu ya Katiba ya wananchi huku akisahau kuwa CCM yote waliikataa hiyo rasimu wenyewe na mgombea mwenza Wa chama chake cha CCM ndie aliekuwa kinara wa kuikataa na kupitisha Katiba ya mafisadi.

2) Anasema Lowassa hafai kugombea uraisi Kwa kuwa anatuhumiwa Kwa ufisadi huku akisahau mgombea wa uraisi na mgombea mwenza wa chama chake nao ni mafisadi na wako chini ya chama ambacho ufisadi umo ndani ya damu yao.

3) Leo anasema kapigiwa simu kuwa uko mkakati wa kuiua CUF lakini kuwa CCM ndio vinara wa mda mrefu wa kuitoa roho CUF

Ni CCM ndio walioanzisha propaganda za CUF ni chama cha waislamu, cha wahuni, cha kigaidi hadi kufikia kusema CUF wameleta kontena la majambia kwa ajili ya kufanyia ugaidi!

Ni CCM hao hao waliouwa wanachama wa CUF karibu 70 January 27 2001.

4) Anasema alitoa ushauri kuwa mafisadi wakatwe kugombea uraisi kupitia CCM huku wakati katika CCM hakuna ambae sio fisadi.

Ka
 
Back
Top Bottom