Mtatiro ni bonge la mwanasiasa, big up. Polepole unatia huruma, kumbe tulikuwa hatujakujua ulivyo mbumbumbu, nilitamani kujua cv yako japo kuwa baadae nikagundua na wrong, kwanini, prof Lipumba amesoma lakini ni kama dogo wa std 7. Ulipwaya kwa Mtatiro sana ,,,, yaani ni kama yeye ni prof halafu anaongea na mototo wa STD 4.
Hebu niikulize swali polepole moja tu, hivi indicator ya uadiifu ni kuwa maskini na kutokuwa na marafiki matajiri? kwani ukiwa tajiri kwa bidii zako katika nchi hii ni dhambi? Kwnini basi utajiri uwe kisu cha kumchinjia Lowassa.
Polepole umejishushia heshima kwenye hii nchi hasa vijana. saivi huna mvuto tena wa kusikilizwa. Ukiona watu wanatazama kipindi hiki cha mada moto sio kwa ajili yako, ni yule ambaye wamemualika awe pamoja nawe pale. Yaani wewe ni mnafiki sawa tu na wale akina mama waliopelekwa bunge la katiba kupiga makofi na vigelegele na ksema ndioooooooooooo. Unatia aibu