Umeshindwa kunielewa. Wewe umesema Lowasa angebaki CCM angebebwa na kufichiwa maovu. Ni kweli ndiyo tabia ya chama chako kubeba watu na kuficha maovu yao? Jibu swali usilete porojo.
Pole pole ni mchumia tumbo
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.
hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.

Kwasababu El alikuwa kiongoz wa juu sana wa serikali huwez kukurupuka tu na kumshtaki kwahyo kile kipindi ambacho mzee El amejiuzulu madaraka yake ya uwazir mkuu ccm ikaone imlee tu mzee wa watu cku ziishe lakin wakati huo huo ilitambua kuwa ndoto zke tena za uongoz wa juu ktk nchi hii atausikia tu katka vyombo mbalimbali mfano mzuri kumkata mapema hata top 5 hakwepo hawez kutuulia chama chetu na serikali yetu iliyopo madarakani labda serikali ya ndoto ya usingizini ya ukawa mtampa uongoz lakin c ccm mzee kapotea japo anahaki ya kwenda chama chchote