Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

MTATIRO ataangukia pua, katika Hawa wanasiasa vijana mtu ambaye anaweza kupambana kwa hoja ni zitto
 
Kinarudiwa lini na saa ngapi maana huku tanesco washafanya yao
 
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.

hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.
usipoteze muda wako kuamini maneno ya mchumia tumbo! yule ni masikini wa kipato ni lazima ajipendekeze kwa watawala. kimsingi hajui anacho kitaka. kama kweli anapigania katiba iliyo pendekezwa na Warioba kamwe hawezi kipenda ccm kwakuwa ccm wamesha amua aina ya KATIBA WAIPENDAYO. UKAWA wanataka kufika NCHI YA AHADI, NANI ANATUFIKISHA HUKO CAN BE ANY ILIMRADI ASITUSALITI
 
ninafikiri polepole anatakiwa aje hapa ajisafishe, atuelewe kuwa ni kweli aliiba laki sita akafukuzwa kwenye ngo yao ya mzngu au la. aje hapa ajitakase na yeye kabla hajaanza kuwaambia wengine. manake msigwa alimwuliz aswali kwanini aliiba laki sita za mzungu akafukuzwa swali, jamaa akashindwa kujitetea mbele ta tiiiviiii (tv), halafu, ashukuru Mungu kodi zetu sisi watz zilimlipia kwenye bunge la katiba, akatoka kwenye maisha kama mbwa koko mtaani hana hata senti akapaba mamilioni na umaarufu juu. kama amenunuliwa aachane na siasa aende tu akale hizo hela alale, sisi wenzie ambao hatukupata hizo hela tunahitaji tanzania njema itakayotupatia fursa ili tupate hela, yeye kama ameshiba kodi zetu (tulizomlipia mshahara kwenye bunge la katiba), asitudharau sana. hakuna mtu ananikera kama yule dogo tangu alipokuwa bunge la katiba alipokuwa anaponda serikali, nilikuwa napokea tu maneno yake lakini moyoni nilikua nahisi huyo dogo ni adui, si mtu mzuri kabisa.

Tehtehteh! una haki ya kukasirika kwa maana hata uelewa wako wa mambo ni mdogo sana. Humphrey Polepole hajawahi kuwa mbunge wa katiba.
 
Kama alifikia hatua ya kuiba laki sita hawezi kuyaacha mapesa ya marehemu Muamar Gdf yapite mbele yake..
 
Duuuuu kuna buana mmoja hivi huku nikimuona kwenye tv baadae usiku naota nakabwa, sasa sielewi kwa nini! Anaongea kama mchawimchawi hivi!
 
Back
Top Bottom