Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Ama hujui au wewe ni muongo na mjnga! Kwani Lowasa anauongozi gani ndani ya CHADEMA?Ila mbowe na lisu n vigeu geu kwa kumpa uongoz wa juu fisad papa lowasa

Kama hamwezi kumshtaki si alishawaambia fungeni midomo yenu mkae kimya?! Sasa mnalialia nini wakati mnamwogopa. Halafu wewe nani kakumbia kuna mtu aliye juu ya sheria? Lowassa hakuna kiongozi wa juu sana serikalini kama unavyoamini wewe. Kuwa kiongozi wa juu sana maana yake hata raisi alikuwa chini yake? Hueleweki mkuu!!
Kma cjaeleweka mkuu pouwa ila kubali kwanza kumpokea El na kumpa nafasi ya kuwa mgombea wenu daha mmekosea sna yaani sera yenu itakuwa ni kuwajibu wananchi kwann lowasa mlisema fisadi leo kawa msafi wakati ccm ikipeta kwa kumtangaza magufuli kiulaulini sana tu
Baada ya CCM kutaja na kuwapitisha watuhumiwa wa ufisadi kuwa wagombea ubunge
kama Tibaijuka Chenge na Ngereja inategemea Amferd Polepole atakihama chama hicho muda sio mrefu.
hii inatokana na kauli yake aliyoitoa wakati akiitimisha mdahalo wake na msigwa..Polepole alinukuliwa akisema kama CCM itampitasha mtuhumiwa wa ufisadi ntarudisha kadi ya ccm. Polepole ni mtu anayesimamia maneno yake ngoja tuone.

Alisema kwamba kama ccm au chama CHOCHOTE cha siasa nchini kikisimamisha mgombea wa urasi mwenye madoa madoa, mla rushwa au fisadi atazunguka nchi nzima kumpinga...
#polepole ni kijana makini sana