Pole pole eti anasema watoa rushwa wote wamekatwa ndani ya CCM katika ngazi zote, hivi inamaanisha hakusikia tuhuma za Mwigulu, Nape, Masaburi na wengineo wengi ambao wamepitishwa Jana? Haka kakijana ni kanafiki sana yaani kameisha choka ubongo na akajielewi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.