Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 957
- 1,373
Km kawaida 3 kwa 5,000Umeuziwa bei gani?
Km kawaida 3 kwa 5,000Umeuziwa bei gani?
Kwa sasa kumechangamka mbele kule km unaenda motomoto kuna bar zamanj ilikuwa unaitwa misisipi now Google Park nayo inabamba balaaNaimiss sana hiyo mitaa
Dah ngoja nifanye mpango nije huko aiseeKwa sasa kumechangamka mbele kule km unaenda motomoto kuna bar zamanj ilikuwa unaitwa misisipi now Google Park nayo inabamba balaa
Karibu sana
Aise ndio ujue kwamba kilevi kinakupa confidenceWadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia
So niendelee kuutwika?Aise ndio ujue kwamba kilevi kinakupa confidence
Uthubutu wa mayiWadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia
Dah namiss hivyo viwanja vyoteLeo kuna ka Party ya Mtoto kapata Komunio ya Kwanza nimealikwa The Grand Kigogo Landa BarView attachment 1816444
Kavu ndio mpango mzima Ila hata kumix na tonic inafaa..Kanafaa kuchanganywa na nini? au kanapigwa kavu kavu!
Itabidi mwenyekiti siku ukiwa unakuja uniambie mapema nikupitishe viwanja vyote vya kigogo mpaka mabibo
ngoja nione ratiba ya next weekItabidi mwenyekiti siku ukiwa unakuja uniambie mapema nikupitishe viwanja vyote vya kigogo mpaka mabibo
X.O pakubwa pamegawanyika pale ndan yan ni full shangwe maana counter ziko 3 kwa sehem tofaut na vyumba vya kulala kwa upande wa road. Totoz za kushato
Karibu sana
Wadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia