Mafua ya kuku
Member
- May 31, 2019
- 92
- 76
Dah ♂️♂️
Vitu vyako nn hivyo, kiongozi
Dah ♂️♂️
Umeua bendi kiongozi🙆🏽♂️Vitu vyako nn hivyo, kiongozi
Karibu MwenyekigodaLocation muhimu kushare
Location muhimu kushare
ndo nini hiki?
Mafichoni pub pwani iyoKaribu MwenyekigodaView attachment 1188418
Huu upaja nimeuelewa kinomaKaribuni MoroView attachment 1188520
Huu upaja nimeuelewa kinoma
those fingersKaribuni MoroView attachment 1188520
those fingers
magnifique
hutokiView attachment 1188511
Mi nimemetulia zangu home hilo kombe langu lina konyagi mixer water na limao namsubiria mama arudi mihangaikoni nimuachie nyumba yake, naomba mualiko
Baadae utakuwa wapi mkuu...View attachment 1188511
Mi nimemetulia zangu home hilo kombe langu lina konyagi mixer water na limao namsubiria mama arudi mihangaikoni nimuachie nyumba yake, naomba mualiko
Kiwanja gani hapo morogoro white...Karibuni MoroView attachment 1188520
Hahahaha, sema ukiamka asbh hovyo kwel mkuuHaka kapombe nina miaka saba sijakanywa...
Nakijaribu hapa naona kana harufu ya ovyo kwel sikuhiziView attachment 1187746