The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
[emoji28]Tunakumbuka mateso ya mesiha kwa uchungu kabisa View attachment 1075326
[emoji28]Tunakumbuka mateso ya mesiha kwa uchungu kabisa View attachment 1075326
Mkuu vipi baselona alitokaje??View attachment 1073220
Namna nzuri ya kumalizia kazi zangu, hapa namalizia kiporo kisa naenda pembeni kusubiri kipigo chakaza atakachopewa barcelona leo
Kuna chupa hazieleweki utafikiri kwa mkemia mkuu
Angalia sana aseeeNimenote ukiwa addicted na Pombe kali, beer haipandi kabisa.
Nakaribia kuitoa bia kama pombe kwanguNimenote ukiwa addicted na Pombe kali, beer haipandi kabisa.
[emoji28]Kuna chupa hazieleweki utafikiri kwa mkemia mkuu
Mkuu vipi baselona alitokaje??
Mkuu kwemaa?ivi leo ijumaa kuu gambe inaruhusiwa?
Nimesikia Wanaume wa Dar hamuwezi hiyo eti mmezoea kula maini na limao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii niliipata kwa mdau hapa.
Katibu msalimie huyo anekunywa ilee [emoji1428]
Dah mm bado ni mwendo wa maji tu[emoji106][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dodoma ndani ndani, jirani na Ikulu Chamwino, sijaacha Konyagi! Nimewatia tungi hawa jamaa wamepoteana, wananiita Mbunge, za kienyeji lakini cheapView attachment 1075747