Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,870
- 3,014
Usikonde, nitakuita best, bill itanihusu..duh umenijaza hamu na ninavyopenda mbuzi..wapi huko mkuu[emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikonde, nitakuita best, bill itanihusu..duh umenijaza hamu na ninavyopenda mbuzi..wapi huko mkuu[emoji39][emoji39]
Arusha best..duh umenijaza hamu na ninavyopenda mbuzi..wapi huko mkuu[emoji39][emoji39]
Duh[emoji41][emoji41][emoji41]hahahahha..ukumbuke kupiga maji mengi best..figo baba figo[emoji848]..!ww ni mnywaji mwenza na mrangi na mshana[emoji41][emoji123]...!
distance mkuu😋
Huwa sina ajizi kwenye afya. Maji na msosi ni desturi..[emoji41][emoji41][emoji41]hahahahha..ukumbuke kupiga maji mengi best..figo baba figo[emoji848]..!ww ni mnywaji mwenza na mrangi na mshana[emoji41][emoji123]...!
Huwa sina ajizi kwenye afya. Maji na msosi ni desturi..
By the way, Good morning!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂..usiniambie na jana hujanywa ww..duh ajabu hiiWalevi na wanywaji mmeamka au bado mna stock ya zile za nusu bei?
God save us
Ndipo hapo nawapenda watu wa kilaji, wanajaliana kwa sana..[emoji851][emoji851] !!![emoji41][emoji41][emoji41]hahahahha..ukumbuke kupiga maji mengi best..figo baba figo[emoji848]..!ww ni mnywaji mwenza na mrangi na mshana[emoji41][emoji123]...!
Ndipo hapo nawapenda watu wa kilaji, wanajaliana kwa sana..[emoji851][emoji851] !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kufia kifuani [emoji23]Lazima tujaline...vifo vya kijinga jinga hapana mkuu!msisahau maji jameni
[emoji23]Inabidi chanzo cha kifo chako kifichwe. Bora hata aliyefia bank anaiba hela.[emoji23][emoji23][emoji23]ule nao ni uzembe eh