Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Jamani jamani weekend bado na ni mda wa kazi huu
God save us
God save us
Halafu mweka hazina Blaki Womani mbn kimya, anitia hofu mie Rafiki ake wa damu kwa ukimya huu
MTC | 101| [emoji769]
Nilikua natafuta iliyojaa vizuri.
Acha kabisa nachelewa kutoka job nashindwa kulipa kodi inavyotakiwa😎 ...........rafiki nipe habari za pande hizo
Sawa rafiki nafurahi kusikia ulinimiss [emoji23][emoji23] leo muhimu tena mapema kabisaHahahaha, pole Sana Rafiki, pande hz ni poa kabisa ,nilikumiss sana Rafiki
Week end Leo kama kawa tulipe KODI
MTC | 101| [emoji769]
Nilikumiss Sana, bia zikawa hazipandi vzr,sasa Leo walau zitashukaSawa rafiki nafurahi kusikia ulinimiss [emoji23][emoji23] leo muhimu tena mapema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi usinimiss ili bia zishuke sawasawa [emoji28][emoji28] unialike basi rafikiNilikumiss Sana, bia zikawa hazipandi vzr,sasa Leo walau zitashuka
MTC | 101| [emoji769]
Nipo imara kama Simba[emoji23][emoji23] w.end ndio hiyo imeanzaWadau mpo imara?.
Mi hats sikumbuki inaanza lini maana nikiamka nikiingia jobu nikisema natoa lock nashangaa kama jumapili vile😀😀.
Mapema sana nmekja kumsabahi jamaa yngu mmja anaumwa hku natoa lockMzee baba upo imara?.
Mpe pole sana, unanitamanisha ujue mi sijaanza nimekamatika. Nataka nitoroke chap nikachangie maendeleo.Mapema sana nmekja kumsabahi jamaa yngu mmja anaumwa hku natoa lock
Ova
View attachment 1028766
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata nafasi jiibe chapMpe pole sana, unanitamanisha ujue mi sijaanza nimekamatika. Nataka nitoroke chap nikachangie maendeleo.
Nimesha chomoka katibu dah.
Mapambano yanaendelea.