Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wewe sio mzoefu wa hivi vitu.
Namaanisha ukipiga hivi vitu sana kuna siku unakunywa 2 tu tayari umeshalewa. Kama hii hali haijakutokea ongeza idadi 15 bado kidogo ukilinganisha na bei ya huko kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hapo nmekuelewaa unasema kunywa bia 1,2 chali hyo inatokeaga
Duh mm nmeanza kunywa pombe tokea Nna miaka 16 mzee na mm daily asilimia kubwa lazima nivesheee hyo kawaida tu kwangu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Hahahaha
Mm pombe sijawahi kufulia Nna hela sina hela ntalewa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hzi nakuja na style ya kupumzika maana naingizaa mzigo mwingi mwilini mpk nakuwa silewi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi najikuta tu ninazo za konyagi

Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom